Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Natamani nifungue id mpya nijitakie heri ya mwaka mpya.

Inachoma jamani mpaka sasa hivi....
 
All in all nawatakia kila la kher na mafanikio mema ktk majukum yenu na mungu awasimamie familia zenu
Amani kwenu nyote.
Mungu bariki Tanzania
 
Back
Top Bottom