Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] No..Nilikua naangalia ulivyo na upendeleo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji8][emoji23] [emoji23] No..
Sio upendeleo..
Za kwako ni special...
Sijataka kuzichanganya ma mtu mwingine
[emoji7] [emoji7][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji8]
Senkyuu p123[emoji7] [emoji7]
Pamoja wana uchumi wote!Wana EGM wote
Valentina, umekuwa ni miongoni mwa dada zangu wa maana sana 2016.Kwaheri 2016 ulikua na changamoto zako
Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...
Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....
Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
Mbona unatuaga mama?Kwaheri 2016 ulikua na changamoto zako
Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...
Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....
Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
Utafungwa wewe urabuni utanyongwa kwa kujimilikisha mke wa mtuNilimaanisha mpenzi dada yangu.
Ila kwa sasa ningependa kumtakia mke wangu Honey Faith heri ya mwaka mpya na makiss kiss mengii