Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Mama yangu mzazi na familia yangu kwa ujumla...

Family first....
 
Kati ya mwaka mbaya kumbeleza penzi lililopotea na bado patupu
...niwatakieni kila mtu humu ndani heri ya mwaka mpya mungu atuongoze tuwe na mapya zaid
 
Nawatakia kheri ya mwaka mpya woooooote tusameheane yaliyopita si ndwele tugange yajayo nawapenda woooote [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
5a07b32554ac8f603587e5cca799c8c6.jpg
48cb8f17b466d110f8a6eda51c0bd185.jpg
 
Kwaheri 2016 ulikua na changamoto zako

Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...

Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....

Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
 
Nawatakia members wote mwaka Wenye mafanikio. Lakini sioni tofauti maana Dunia ilikuwepo zaidi ya billion years.
 
Kwaheri 2016 ulikua na changamoto zako

Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...

Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....

Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
Valentina, umekuwa ni miongoni mwa dada zangu wa maana sana 2016.
Hakika nitaendelea kukuombea Muumba aendelee kukupa afya njema 2017, Mungu akubariki na 2017 ambayo naamini utapewa neema ya kuione na iwe ya baraka kwako....hivi kaka yetu vipi hujamweka kwenye post!!!
 
Mwakaaa huooooo jamaniiii
Ndo unakatika agani jamani
 
Kwaheri 2016 ulikua na changamoto zako

Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...

Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....

Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
Mbona unatuaga mama?
 
Makamanda wote popote walipo cheers kwenu..
 
Back
Top Bottom