Hahahaha!! We noma.. Unataka kupigwa ujueNamtakia heri ya Mwaka Mpya Faru John popote pale alipo.
Ila hatuwezi juaUmeonaeeh..!?
Ila lisemwalo pia lipo au laja..Ila hatuwezi jua
Nilimaanisha mpenzi dada yangu.Mhhhhh?
Huyo ni mpenzi dada yangu.Ila lisemwalo pia lipo au laja..
Sijatafsiri vyovyote kaka yangu,kuwa na amani.Huyo ni mpenzi dada yangu.
Au wewe unatafsirije neno mpenz.
Afu mbona pm zangu huzijibu?...Sijatafsiri vyovyote kaka yangu,kuwa na amani.
Hahahaa.. Hii kibokoHahahaha!! We noma.. Unataka kupigwa ujue
Ahaa...Afu mbona pm zangu huzijibu?...
Sio vizuri ujue usiwe kama honey Faith
Toka mwaka jana na pm hajibu hadi kaniblock.
Inabidi nihamishie majeshi kwako
Swadata, afu usiniite kaka nitaona aibu kukuambia nnachotakaAhaa...
Unamaanisha kwamba unataka uweke kambi ya jeshi nyumbani kwangu?
Hebu nieleweshe kaka yangu.
EEGM wa dunia nzima aua wa wapi!?Wana EGM wote
[emoji85] [emoji85]Swadata, afu usiniite kaka nitaona aibu kukuambia nnachotaka
Nlijua tu utaona aibu,[emoji85] [emoji85]
Asante kwa niabaNamtakia heri ya mwaka mpya muasisi wa JF Maxence Melo na team yake....
Pole kwa kufiwa.....Natafuta mchumba ncheki pm tunaeza match tukauanza mwaka vizur kipekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole kwa kufiwa.....
Na faru john