Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vitu vina price tagMbuzi choma (tumemfuga wenyewe)
Mchemsho wa kuku asubuhii (tumemfuga wenyewe)
Ndizi vichane (shambani)
Wine 🍷 (15k)
Kwamba alikuwa anamlisha vumbi!?Kasema anemfuga mwenyewe
Watalia kilio cha mbwa kokoHata cha kutumia kilikuwepo kwani....januari si mbali tutalia
😂😂😂🙌Watalia kilio cha mbwa koko
Da! Jana ilitumika wastani wa TSH.50000/=Vipi ulitumia kiasi gani kwa ajili ya sherehe za christmass?
Matumizi hayo unayaonaje utayarecover vipi january hii?