Tuambiane kuhusu matumizi ya jana!!

Tuambiane kuhusu matumizi ya jana!!

Jana nimeamka zangu asubuhi na mapema nikawahi vingunguti nikachukua nyama kilo zangu tatu tsh 25,500/-

Nikachukua kreti la soda kampuni sbc tsh 12,000/- nikawa nimemaliza kesi hapo home, watu wakala wakashiba.
 
Petrol 60,000 kwaajili ya kutoka na familia

Kuwalipia Watoto michezo na refreshments zao 30,000

Chakula &Vinywaji 62,000

Jumla Kuu 152,000/=


Zamani tulikuwa na msemo wa "Ponda Mali Kufa kwaja"
 
Elfu 20 ilitosha kuenjoy na familia yangu, maana hakuna utofauti wa siku zingine mkuu.
 
Back
Top Bottom