SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda.
Mwenye uzoefu na watu hawa anaweza kunipa ushauri gani katika hili? Pia jamii zao zinawachukuliaje watz? Nilifika Kigali pako poa sana, jamaa wanatuacha hivi hivi mbele ya macho yetu yaani. Lakini kwa kuwa nilienda kikazi sikupata muda wa kujichanganya sana. Kwa hiyo hata kwa mtazamo tu wa kimaisha, nadhani siyo wazo baya kuoa kule.
Nakaribisha ushauri. Mapovu ruksa.