Tuambiane sifa kubwa za Wanawake wa Kinyarwanda. Nataka kuvuka border!

Tuambiane sifa kubwa za Wanawake wa Kinyarwanda. Nataka kuvuka border!

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda.

Mwenye uzoefu na watu hawa anaweza kunipa ushauri gani katika hili? Pia jamii zao zinawachukuliaje watz? Nilifika Kigali pako poa sana, jamaa wanatuacha hivi hivi mbele ya macho yetu yaani. Lakini kwa kuwa nilienda kikazi sikupata muda wa kujichanganya sana. Kwa hiyo hata kwa mtazamo tu wa kimaisha, nadhani siyo wazo baya kuoa kule.

Nakaribisha ushauri. Mapovu ruksa.
 
Mleta mada mjinga mkubwa wewe kwa hiyo ulichorudi nacho ni picha za jiji la Kigali na za Wanawake wa kinyarwanda.Mwajiri wako kapoteza pesa kulipeleka jinga Kigali.Kila siku tunapiga kelele humu kuwa mtanzania akisafiri nje aangalie kuna fursa gani za kibiashara au kiuchumi kule ambazo yeye aweza fanya au kushauri wengine wafanye wewe unatuletea habari za mitaa na Wanawake mjinga wewe.
 
usihofu sana kijana tabia zao zinataka kufanana na kabila fulani hapa bongo wana karoho fulani hivi hasa kwa ndugu hivyo ni vyema ukajipanga kisawasawa ingawa sio wote hata hivyo wanatabia za kuleta ndugu zao kwako so ni kuwa makini maana unweza jikuta unamsaliti mkeo tabia mojawapo kuu ni kuwa na roho fulani hivi nadhani umenielewa ila sio kwa wote na hii inawezekana pia kurekebishika.. kuhusu mto mada hapo juu wanatabia zingine kama za wahaya wanapokuwa katika ulingo ule wa wakubwa ingawa wengi wanaonekana kama ni wavivu katika miili yao ila ni marangu waterfalls
 
Mleta mada mjinga mkubwa wewe kwa hiyo ulichorudi nacho ni picha za jiji la Kigali na za Wanawake wa kinyarwanda.Mwajiri wako kapoteza pesa kulipeleka jinga Kigali.Kila siku tunapiga kelele humu kuwa mtanzania akisafiri nje aangalie kuna fursa gani za kibiashara au kiuchumi kule ambazo yeye aweza fanya au kushauri wengine wafanye wewe unatuletea habari za mitaa na Wanawake mjinga wewe.
Mkuu Naomba Nikukumbushe Mada Iliyopo Mezani Ni Kuhusu TABIA AU SIFA ZA WANAWAKE WA KINYARWANDA Hivyo Naomba Uchangie Kupitia Kipengele Hiki.
 
Mnyarwanda huwa ni mkmya na pale anapo panga plani za kukuua huwezi kumdhani

Ukiwa unaishi nae jua kabsa unaishi na jasusi ndani kutoa habari za ndani kupeleka kwao,hii inafanyika ikiwa ameolewa na mtu si kabila lake.

Mwanyarwanda(watutsi)wana tabia za kipaguzi sana,mmoja akipewa nafasi kwenye kampuni fulani bas jua wote watajaa.

Tatizo lao ni magogo na maji mengi.

Huwa ni wavivu,wanapenda sana kazi zile za ofisini(kifupi kazi rais)..

NB:ukizoea kuishi na mtanzania huwezi kuishi na mnyarwanda.na sio kwamba wote wako hvyo ila asilimia kubwa wako hvyo.
 
Ukioa kule jiandae kwa mambo haya...
1. Amani ndani ya nyumba yako itakuwa ni kitu cha kuunga unga... Wengi wanapenda ugonvi kama wanawake wa Arusha.
2. Jiandae kumkabidhi ATM card ikiwa ni pamoja na mshahara wako.
3. Ndugu/marafiki zako kupoteza uhuru wa kuja nyumbani kwako kukutembelea.
 
Watusi wa Bukoba hawana tofauti na wahaya ila wa Rwanda nasikia ni wavivu sana kwa mujibu wa walio fika huko ila wa bukoba wana chachalika sana wanajituma sana japo maisha yao ni magumu kiasi flani
 
Wanyarwanda wanatabi kuu mbili.ukiimudu moja moja itakumaliza tu.
(1)-ili akae na wewe na aone kua wewe ni mwanaume wa shoka lazma umlizishe ktk mapenzi yaa afike kilele kisawasawa(majipeupeyamwagige)kipindi unafanya yako.tofauti na hivyo baba jianda kushea na wezako.
(2)-yupo tayari kuvumili shida zako,lakin ukifanikiwa subiri kuumia.(@)kukutanguliza haoni shida ili awe mmiriki wa mali zako.kuhama hafla pindi wewe upo kazini na ucmuone mpaka kifo chako.
 
Mleta mada mjinga mkubwa wewe kwa hiyo ulichorudi nacho ni picha za jiji la Kigali na za Wanawake wa kinyarwanda.Mwajiri wako kapoteza pesa kulipeleka jinga Kigali.Kila siku tunapiga kelele humu kuwa mtanzania akisafiri nje aangalie kuna fursa gani za kibiashara au kiuchumi kule ambazo yeye aweza fanya au kushauri wengine wafanye wewe unatuletea habari za mitaa na Wanawake mjinga wewe.

Ungeanza na alichokuuliza mkuu hizo fulsa utatafta mwenyewe.
 
Back
Top Bottom