Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Za jioni kwa mliopo Tanzania, hili suala naomba niliongelee leo,mficha uchi hazai najua sote twafahamu hili. Kumekuwa na machapisho mengi humu yanayoelezea upakaji wa mafuta makalioni kwa wanaume. Nimeona wengi wanasema kupaka mafuta makalioni ni uanamke.
Sasa niulize, nyie wanaume wenzangu msiopaka mafuta makalioni kwamba mmepauka huko nyuma au? Mimi ninachojua usipopaka mafuta hata mapajani tu unapauka,kwa wengine wenye ngozi mbaya wanakuwa wanatoa mpaka unga unga.
Tuelezane tu ukweli,so mmepauka siyo? Na mnawaonyeshaje makalio yenu wake zenu na huo unga unga mweupe[emoji23]? Nauliza tu, niwe mkweli mimi binafsi sipaki mafuta makalioni hata iweje.
Tushauriane wenzetu, coz kuna jamaa ana kisa kuwa anagombana na mke wake kisa kapauka mno makalioni yaani kawa MWEUPEEE akikuna anatoa unga unga sometimes.
Haya team NO KUPAKA MAFUTA MAKALIONI tiririkeni, hivi hamjawa weupe kama sembe kweli?
NB: mficha uchi hazai