Tuambiane tu ukweli, wanaume wasiopaka mafuta makalioni kwa hiyo wamepauka au?

Tuambiane tu ukweli, wanaume wasiopaka mafuta makalioni kwa hiyo wamepauka au?

[emoji23]Mm sijui kunamtu nilimsikia anasema mwanaume hapaki mafuta makalioni unaanzaje kushika tako[emoji23]

Pia ukitembelewa ghetto na rafikyako mda wa kulala mnaangaliana usoni[emoji23][emoji23] hakuna mtu kumuwekea mgongo mwenzie
Usela mavi tu, usafi hauna cha ke wala me. Wanawake wanavumilia... Ile mipele na miukurutu jitu unalala nalo kitanda kimoja *****[emoji23]. Kuna watu ngozi zao kavu halafu mafuta hawapaki [emoji23]
 
Tunapata shida kuwaangalia mkibong'oka. Ma-unga unga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] ukurutu pia[emoji23][emoji23] ila mimi naamini hao ni walala hoi, sidhani kama me mwenye hela anaweza kuwa na maukurutu na maunga unga.

NB; sipo upande wowote bado[emoji23]
 
Kwa hiyo mke wako huwa unamuonesha matako yako ? Uwe una muuliza pia yamekua laini na meroro? Ni mazuri ? Yana meremeta?
 
Kwa hiyo mke wako huwa unamuonesha matako yako ? Uwe una muuliza pia yamekua laini na meroro? Ni mazuri ? Yana meremeta?
Hamna! Kwa nini upake mikononi/miguuni/mgongoni/tumboni, ila makalioni usipake? Why?
 
😂Mm sijui kunamtu nilimsikia anasema mwanaume hapaki mafuta makalioni unaanzaje kushika tako😂

Pia ukitembelewa ghetto na rafikyako mda wa kulala mnaangaliana usoni😂😂 hakuna mtu kumuwekea mgongo mwenzie
Ukiona mtu mpaka anatembelewa ghetto kwake basi tambua huyo bado siyo mwanaume bali ni mvulana, mwanaume anakuwa na familia yake anayoihudumia, na siyo kulala na mwanaume mwenziwe. Huyo ni mvulana!
 
Ukiona mtu mpaka anatembelewa ghetto kwake basi tambua huyo bado siyo mwanaume bali ni mvulana, mwanaume anakuwa na familia yake anayoihudumia, na siyo kulala na mwanaume mwenziwe. Huyo ni mvulana!
Kunawengine ndo wanaanza maisha sidhani km nao sio wanaume
 
Back
Top Bottom