Tuambiane tu ukweli, wanaume wasiopaka mafuta makalioni kwa hiyo wamepauka au?

Tuambiane tu ukweli, wanaume wasiopaka mafuta makalioni kwa hiyo wamepauka au?

MWANAUME KAMILI ANAANZA KUVAA NGUO KWANZA NDO APAKE MAFUTA SEHEMU ZILIZO WAZI
 
[emoji23]Mm sijui kunamtu nilimsikia anasema mwanaume hapaki mafuta makalioni unaanzaje kushika tako[emoji23]

Pia ukitembelewa ghetto na rafikyako mda wa kulala mnaangaliana usoni[emoji23][emoji23] hakuna mtu kumuwekea mgongo mwenzie
[emoji23][emoji23] Hawa wenzentu sijawahi jua kuna siri gani kwenye hayo maeneo yao.
 
Back
Top Bottom