Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment kwa kuandika simu yako model yake unayotumia tujue Ni simu gani Kama Ni kampuni ya tecno au Samsung au iPhone mwisho wa siku tutajua simu gani inaongoza kutumiwa na Wana jf
Naanza Mimi mwenyewe jf naingilia ITEL. Itel A32F
IPhone x
Siamini hata kidogo nyie ni watu wakubwa sanaNokia torch
Nimeipata picha yakoIPhone x
KhaaaaNimeipata picha yakoView attachment 873760
Yani kama kiumri umenizid miaka 20 je ni mkubwa kivip?Siamini hata kidogo nyie ni watu wakubwa sana