TUAMBIE AINA YA SIMU UNAYOTUMIA

TUAMBIE AINA YA SIMU UNAYOTUMIA

Comment kwa kuandika simu yako model yake unayotumia tujue Ni simu gani Kama Ni kampuni ya tecno au Samsung au iPhone mwisho wa siku tutajua simu gani inaongoza kutumiwa na Wana jf
Naanza Mimi mwenyewe jf naingilia ITEL. Itel A32F

Ungeweka na picha mkuu ingenoga zaidi
 
Nimeipata picha yako
_20180921_225550.JPG
 
Back
Top Bottom