Powle!1.1.2015
Hii siku ingewezekana kurudi ningebadilisha kila kitu siku hiyo wallah!!
Siku mbaya sana hii [emoji24][emoji24]
AsanteePowle!
Ningetamani niwe tena kijana halafu itokee siku hiyo nilikua na mwanafunzi chumbani kwangu nikakamatwa nae na polisi...Natamani kingerudi kile kipindi nilichokua na baba na mama wakiniambia fanya hichi, na mimi nafanya kile kwakuona kuwa mimi ni bora kuliko wao, kwakweli ningewasikiliza kila lililo jema kwao na kulitekeleza bila kuhoji,...!
Na wewe je... ? Maana wanasema majuto ni mjukuu!.
Pole sana1.1.2015
Hii siku ingewezekana kurudi ningebadilisha kila kitu siku hiyo wallah!!
Siku mbaya sana hii [emoji24][emoji24]
Mkuu pole sana dah ulikua mdogo sana lakini Mungu ni MwemaJapo sasa mm ni mtu mzima lakini ck zngerud nyuma nimemiss nimwone mama angu aliyefarik mwaka 1996 nikiwa darasa la kwanza. MPAKA LEO NAMKUMBUKA SANA MAMA ANGU.
Although its imagination....Natamani kingerudi kile kipindi nilichokua na baba na mama wakiniambia fanya hichi, na mimi nafanya kile kwakuona kuwa mimi ni bora kuliko wao, kwakweli ningewasikiliza kila lililo jema kwao na kulitekeleza bila kuhoji,...!
Na wewe je... ? Maana wanasema majuto ni mjukuu!.
Pole SanaJapo sasa mm ni mtu mzima lakini ck zngerud nyuma nimemiss nimwone mama angu aliyefarik mwaka 1996 nikiwa darasa la kwanza. MPAKA LEO NAMKUMBUKA SANA MAMA ANGU.