DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kwel mkuu Mungu ni mwema na thnx kwa ndugu zangu still wakanilea na wakanisomesha now nina maisha yangu.Mkuu pole sana dah ulikua mdogo sana lakini Mungu ni Mwema
Thanx mkuuPole Sana
Dah pole sana, ila usichukulie wote wapo hivo2008 nilivyochukua mkopo wa pesa na kuchanga na mpenzi wangu ili tufanye biashara...
Baada ya miez miwili akakata mawasiliano na mimi.. Nilihangaika sana kurejesha lile deni..
Mungu mkubwa nilimaliza cha ajabu jamaa hakufanya kitu cha maana zaid ya kuhonga hawara zake... Duuuu kweli mwanaume sio ndugu yako..
...Natamani kingerudi kile kipindi nilichokua na baba na mama wakiniambia fanya hichi, na mimi nafanya kile kwakuona kuwa mimi ni bora kuliko wao, kwakweli ningewasikiliza kila lililo jema kwao na kulitekeleza bila kuhoji,...!
Na wewe je... ? Maana wanasema majuto ni mjukuu!.
Yah ni kweli.. Wapo tofauti, hata huyu nilienae ni tofauti na yule jamaaaDah pole sana, ila usichukulie wote wapo hivo