Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Wajomba na mamshangazi hebu tuambizane hapa tupeane ABCD kwenye mahusiano na namna ya kuyalinda...
Kwenye suala la mawasiliano ya long distance au hata fupi fupi yupi anapaswa kumtafuta mwenzake kati ya Mwanamme na mwanamke? Ni sahihi mwanaume kusubiria hadi atafutwe? Nani anapaswa kuwa under control?
"Au Kila Siku Unaanza Kumtafuta Wewe Tu Kwamba yeye Haoni Umuhimu Kwako Anyway Endelea Kudhalilisha Ukoo Wenu."