Tuambie: kati yako na mpenzi wako nani anaanza kuntafuta mwenzie?

Tuambie: kati yako na mpenzi wako nani anaanza kuntafuta mwenzie?

Hii statement ni rahisi kuisema ila akisepa ndio gape linaonekanaga haha
Akiii si unaonanga hata mjane akifiwa ananawiri? Bado hujajua ni kwanini? Wachache sana wanaona gap ila maisha ya ndoa nyingi sisemi zote wanaishi kuridhisha nzengo waonekane tu wako kwenye ndoa
 
Mambo ni mengi sana yanayovunja ndoa haliwezi kuwa suala la mawasiliano tu, yaani ndoa ikivunjika dari ndo huwa lina siri zooote wa nje mnaona tu matokeo, suala la mshua wako kuondoka eti kisa mawasiliano hulijui hata ungenyamaza tu
Ni hakika kwa unalosema kuwa dari hujua siri zote za ndani, naelewa vyema sana na ninaliheshimu hilo
 
Akiii si unaonanga hata mjane akifiwa ananawiri? Bado hujajua ni kwanini? Wachache sana wanaona gap ila maisha ya ndoa nyingi sisemi zote wanaishi kuridhisha nzengo waonekane tu wako kwenye ndoa
Dah point 1 zito sana, acha nitize akili nichunguze kwa umakini jambo hili
 
Kwa kweli sisi hatuna kutegeana.
Sisi ni tunatafutana, na hamna hata namna utaona humtafuti au hakutafuti!

Kiasi hata sioni kama yuko mbali, my man does follow ups and check-ins aiseeeh!
Eehehehheh!
 
Unajua maana ya kuchoka na tabia za mtu ambaye hamjazaliwa na damu moja na tena mmekutana ukubwani?
Najua kipenzi.
Anapoanza kukutafuta spark it on.
Si rahisi I understand sis, been there.
Lakin hicho kitu unachowaza ni nafuu isn't the case(been there too)
 
Najua kipenzi.
Anapoanza kukutafuta spark it on.
Si rahisi I understand sis, been there.
Lakin hicho kitu unachowaza ni nafuu isn't the case(been there too)
Inafikia hata akisafiri unawaza si lipate ajali livunjike miguu nipumzike na mambo mengine😀😀😀😀
 
Inafikia hata akisafiri unawaza si lipate ajali livunjike miguu nipumzike na mambo mengine😀😀😀😀
Mmmmh!
Hii chuki ni kwa ajili ya salamu tu kukusalimia na kukujulia hali ?
 
Back
Top Bottom