Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Kwenye suala la mawasiliano ya long distance au hata fupi fupi yupi anapaswa kumtafuta mwenzake kati ya Mwanamme na mwanamke? Ni sahihi mwanaume kusubiria hadi atafutwe? Nani anapaswa kuwa under control?
Hilo ni sahihi kabisa, usipomtafuta mara kwa mara atakuwa anaona himzingatii, naturally wanaume tunao wivu sana heri unitafute bila sababu kuliko kukaa kimyaMi mume wangu mpenzi yupo mbali, nahakikisha namtafuta mara kwa mara vi SMS vya kichokozi na video call vya kichokozi...
Simsubiri anitafute naanza mimi...
NB: Mapenzi ya mbali hayahitaji kutegeana kwenye mawasiliano...
Wewe unasimamia kipiMzani umebalansi
upendoWewe unasimamia kipi
Well said bro, hakutafuti siku nzima na usiku pia busy hii unaiweka vipi kwenye mizani? Ieleweke hana kaziupendo
Hahaha sometimes you need to talk to her like how to start convos or use yo time to chat with her, make her feel your presence n psychologically will change her mind, remember love teaches ones to go with the line.Hahaha Demu wangu wa sasa anajikuta Nonchalant girl, Ofcourse she has poor communication skills and it turn me off.
Although she is Wife material, Lkn how many times should i teach her to act right?
Kuna mshua wangu alisepa hivyo hivyo na hakurudi mpaka leo sababu mke wake hakuwa akijali mawasiliano hata akimpigia mke wake ana cutoff ki aina flan...jamaa alisepa ni kusepa.Zamani nlikuwa namtafuta, ila baada ya kupata akili yeye ndo hunitafuta hata awe safari akiamua kumaliza wiki ilimradi sis ni wazima na watoto atarudi atatukuta
Yeye aende akiendanga kwani si nliishi before nimjue? Akienda kwani anachukua pua yangu nikose kupumua nikufe?Kuna mshua wangu alisepa hivyo hivyo na hakurudi mpaka leo sababu mke wake hakuwa akijali mawasiliano hata akimpigia mke wake ana cutoff ki aina flan...jamaa alisepa ni kusepa.
Unajua nini kilitokea?
Hahahaa umeruka juu sana sio?tunatafutana wajameni
Hii statement ni rahisi kuisema ila akisepa ndio gape linaonekanaga hahaYeye aende akiendanga kwani si nliishi before nimjue? Akienda kwani anachukua pua yangu nikose kupumua nikufe?
Mambo ni mengi sana yanayovunja ndoa haliwezi kuwa suala la mawasiliano tu, yaani ndoa ikivunjika dari ndo huwa lina siri zooote wa nje mnaona tu matokeo, suala la mshua wako kuondoka eti kisa mawasiliano hulijui hata ungenyamaza tuKuna mshua wangu alisepa hivyo hivyo na hakurudi mpaka leo sababu mke wake hakuwa akijali mawasiliano hata akimpigia mke wake ana cutoff ki aina flan...jamaa alisepa ni kusepa.
Unajua nini kilitokea?