Akiii si unaonanga hata mjane akifiwa ananawiri? Bado hujajua ni kwanini? Wachache sana wanaona gap ila maisha ya ndoa nyingi sisemi zote wanaishi kuridhisha nzengo waonekane tu wako kwenye ndoaHii statement ni rahisi kuisema ila akisepa ndio gape linaonekanaga haha
Ni hakika kwa unalosema kuwa dari hujua siri zote za ndani, naelewa vyema sana na ninaliheshimu hiloMambo ni mengi sana yanayovunja ndoa haliwezi kuwa suala la mawasiliano tu, yaani ndoa ikivunjika dari ndo huwa lina siri zooote wa nje mnaona tu matokeo, suala la mshua wako kuondoka eti kisa mawasiliano hulijui hata ungenyamaza tu
Dah point 1 zito sana, acha nitize akili nichunguze kwa umakini jambo hiliAkiii si unaonanga hata mjane akifiwa ananawiri? Bado hujajua ni kwanini? Wachache sana wanaona gap ila maisha ya ndoa nyingi sisemi zote wanaishi kuridhisha nzengo waonekane tu wako kwenye ndoa
Ni rahisi kusema kuliko uhalisiaYeye aende akiendanga kwani si nliishi before nimjue? Akienda kwani anachukua pua yangu nikose kupumua nikufe?
Unajua maana ya kuchoka na tabia za mtu ambaye hamjazaliwa na damu moja na tena mmekutana ukubwani?Ni rahisi kusema kuliko uhalisia
Najua kipenzi.Unajua maana ya kuchoka na tabia za mtu ambaye hamjazaliwa na damu moja na tena mmekutana ukubwani?
Inafikia hata akisafiri unawaza si lipate ajali livunjike miguu nipumzike na mambo mengine๐๐๐๐Najua kipenzi.
Anapoanza kukutafuta spark it on.
Si rahisi I understand sis, been there.
Lakin hicho kitu unachowaza ni nafuu isn't the case(been there too)
Mmmmh!Inafikia hata akisafiri unawaza si lipate ajali livunjike miguu nipumzike na mambo mengine๐๐๐๐