Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Astakhfillulah!

Ila iliingia bila shida! apo utawaita wanaume ni vibamia!
We vp
Aliyekwambia anaebakwa huwa anaendelea na ngono ni nani?
Soma vizuri ndio maana nikasema sikumbuki.
Ningekuwa nakumbukka ndio ungesema mie kibamia.
 
We vp
Aliyekwambia anaebakwa huwa anaendelea na ngono ni nani?
Soma vizuri ndio maana nikasema sikumbuki.
Ningekuwa nakumbukka ndio ungesema mie kibamia.
Madam wape wape vijana wanataka kutest silaha zao kwako haaaaa
 
Nimecheka sana. Mkuu wale vichaa wakitoroka walikuwa wanaenda wapi?

Kipindi kile kulikuwa na vichaa wengi sana dodoma town..... nadhani kwa sasa wamejua namna ya kuwacontrol.... ndo maana wamepungua mtaani.... hata ukienda pale milembe pia si wengi sana, maana wa pale milembe ndogo ni wale wenye nafuu bila shaka.
 
Bila sahaka mkuu utakua ulikua unakaa magereza kama sio bahi road [emoji3]
 
Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…