Uo ni urafi haukuwa ujanja mkuuNilipokuwa mtoto nakumbuka niliwahi kuipua chakula cha jilani nikatokomea na sufuria polini nikalala Nikamaliza nikaliacha sufuria huko huko polini.
Ha ha ha ha Mkuu unatumia tecno ? Maaana hizo ndo Tania zake umeweka mfukoni inajitoa lock inaweza kopa mpesa na sasa wewe imekuja kutype huku jf
Ha ha ha ha ha
Du! kweli watu wengine utundu bado hamjaachaNdio.
Ila awe na uume mnene na mtamu
Hao mamba wapo Hadi Leo??Tulkatazwa kwenda mtoni (kyela) wakat nna miaka 8 kwa kukaid tukatoroka maoz na wenzangu tuka shuka mtoni. tusjue kuwa kuna Mijusi(mamba[emoji246]) tena eneo lenyew hata watu wakubwa hawaendag, kwa sababu ya wingi wa mamba(mamba kingdom{[emoji246][emoji246][emoji246]}). tupo mtu tano ndani ya maji kam nusu saa hiv daa jamaa angu anashangaa anaibuka na mtoto mamba[emoji246] Yalaa!! ndo kurupuka kutoka mtoni.Tuka chukue nguo kumbe kuna mamba[emoji246] zaid ya kumi ivi (kumbe tulvua nguo tukaweka juu ya mamba[emoji246] kam unavojua ngozi ya mamba imeendana ya udongo ivi)..Tukaamua kurudi maoz uchi uku tukiwa tumejfunika majan maeneo tena kwa mbio za msafara wa rais.Wazaz ad leo hawjui hiltukio coz wangjua kijij kzma kingetuweka mtu kata kikaangon.Tulsingizia nguo zmeibiwa bwawan cos kunamabwawa yalkuepo near kijij hatukukatazwa kuyatumia ila maji ake Duu!! yalkuwa yanatufka magotin at uezi piga mbiz(Yalkuwa hayalet muzuka wa kuogelea)
Wapo mkuu sema co wengi kam zamanHao mamba wapo Hadi Leo??
Bado hatujaacha mazeeDu! kweli watu wengine utundu bado hamjaacha
Haaaaaaa madame B ...habari za siku?Bado hatujaacha mazee
Kuna kuvunja rekodi na kuvunja ungo sas wew ulivunja ungoMimi tumefanya mengi ila hili ni kiboko
Tulikuwa tunashusha kaptula kama kata ke alafu tunakaa kwenye madirisha ya nyumba ambazo haizijaisha mtu akipita anajua tunapiga story kumbe huku nyuma tuna kata gogo bila hofu kabisa
Hujamalizia eh nin kilifuata?Write your reply...utundu niliufanya ..nilimfunikia kaka angu ungo ikiwa ana kigugumizi...basi aliishia kutoa ulimi nje nusura akufwe ...Mimi nacheka uku najigaragaza mwenzangu anaumia...Mama akaona akawahi kufunua ungo ndio nikaona kaka angu anapumua tena ile haraka haraka...doh!!
Mmh salama kabisaaaa???Asante mkuu ila yote yameisha.
Now niko salama sasa.
Tuachie kichaa wetu ajinafasi kidogo mkuuUmeandika nn
Hahaha kumbe unajikomoa nwenyewKujigaragaza kwenye vumbi baada ya kuogeshwa ili kumkomoa dada.
Ulikua na umri gan?Ha ha ha ha[emoji23] ulitisha
Mimi nina siri nzito mpaka leo hua sijamwambia mtu, nilipomaliza form 4 kuna siku tulibaki wawili na shangazi home
Mimi niko sebuleni nacheki movie,sa wakati naenda kukojoa nikapita mlango wa chumba cha wageni uko wazi kuangalia nikamuona yuko uchi kitandani ananiangalia anajidai kustuka nikacheka tu nikasepa
Salama tu mkuu.Haaaaaaa madame B ...habari za siku?
Ndio mkuuMmh salama kabisaaaa???