Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Tulkatazwa kwenda mtoni (kyela) wakat nna miaka 8 kwa kukaid tukatoroka maoz na wenzangu tuka shuka mtoni. tusjue kuwa kuna Mijusi(mamba🐊) tena eneo lenyew hata watu wakubwa hawaendag, kwa sababu ya wingi wa mamba(mamba kingdom{🐊🐊🐊}). tupo mtu tano ndani ya maji kam nusu saa hiv daa jamaa angu anashangaa anaibuka na mtoto mamba🐊 Yalaa!! ndo kurupuka kutoka mtoni.Tuka chukue nguo kumbe kuna mamba🐊 zaid ya kumi ivi (kumbe tulvua nguo tukaweka juu ya mamba🐊 kam unavojua ngozi ya mamba imeendana ya udongo ivi)..Tukaamua kurudi maoz uchi uku tukiwa tumejfunika majan maeneo tena kwa mbio za msafara wa rais.Wazaz ad leo hawjui hiltukio coz wangjua kijij kzma kingetuweka mtu kata kikaangon.Tulsingizia nguo zmeibiwa bwawan cos kunamabwawa yalkuepo near kijij hatukukatazwa kuyatumia ila maji ake Duu!! yalkuwa yanatufka magotin at uezi piga mbiz(Yalkuwa hayalet muzuka wa kuogelea)
 
Tehehhh.. Mkuu itakua ni mtoto amebonyeza bonyeza.. Ndo nagundua saa hivi. Lol..
Ha ha ha ha Mkuu unatumia tecno ? Maaana hizo ndo Tania zake umeweka mfukoni inajitoa lock inaweza kopa mpesa na sasa wewe imekuja kutype huku jf

Ha ha ha ha ha
 
Tulkatazwa kwenda mtoni (kyela) wakat nna miaka 8 kwa kukaid tukatoroka maoz na wenzangu tuka shuka mtoni. tusjue kuwa kuna Mijusi(mamba[emoji246]) tena eneo lenyew hata watu wakubwa hawaendag, kwa sababu ya wingi wa mamba(mamba kingdom{[emoji246][emoji246][emoji246]}). tupo mtu tano ndani ya maji kam nusu saa hiv daa jamaa angu anashangaa anaibuka na mtoto mamba[emoji246] Yalaa!! ndo kurupuka kutoka mtoni.Tuka chukue nguo kumbe kuna mamba[emoji246] zaid ya kumi ivi (kumbe tulvua nguo tukaweka juu ya mamba[emoji246] kam unavojua ngozi ya mamba imeendana ya udongo ivi)..Tukaamua kurudi maoz uchi uku tukiwa tumejfunika majan maeneo tena kwa mbio za msafara wa rais.Wazaz ad leo hawjui hiltukio coz wangjua kijij kzma kingetuweka mtu kata kikaangon.Tulsingizia nguo zmeibiwa bwawan cos kunamabwawa yalkuepo near kijij hatukukatazwa kuyatumia ila maji ake Duu!! yalkuwa yanatufka magotin at uezi piga mbiz(Yalkuwa hayalet muzuka wa kuogelea)
Hao mamba wapo Hadi Leo??
 
Nakumbuka walikua wanapiga wezi na kuwachoma.Walikuwa wawili watu wamekusanyika barabarani nami nkiwa mdogo.Kugeuka naona kuna Mzee alikuwa jirani yangu amevaa jacket refuu.Kuna shillingi noti za miambili miambili jumla mia nne.Basi nkazichomowa nkaondoka huku moyo unandunda nkazieka mwezi mzima chini ya jiwe la kusugulia miguu nlifunga katika karatasi ya plastic.
 
Nimekulia Msasani maandazi Road kipindi hicho Wamakonde walikuwa wengi sana maeneo hayo, na walikuwa wanaogopwa sana kwa kuwa na hasira, basi walipita siku moja kundi wanacheza ngoma zao za kumtoa mwali mi nilikua bafuni nikawamwagia maji kilichotokea baadae sikumbuki ila mi nilikua tayari nipo uvunguni
 
Darasa la sita tushamnusa sana makalio mwl mmoja hivi alafu rafiki yangu alikua mshenz anapiga na chafya kabisa. Kucheka ni mpaka Mwl atoe kichekesho ndo tunacheka hadi chini vipo vingi aiseh
 
Mimi tumefanya mengi ila hili ni kiboko

Tulikuwa tunashusha kaptula kama kata ke alafu tunakaa kwenye madirisha ya nyumba ambazo haizijaisha mtu akipita anajua tunapiga story kumbe huku nyuma tuna kata gogo bila hofu kabisa
Kuna kuvunja rekodi na kuvunja ungo sas wew ulivunja ungo
 
Write your reply...utundu niliufanya ..nilimfunikia kaka angu ungo ikiwa ana kigugumizi...basi aliishia kutoa ulimi nje nusura akufwe ...Mimi nacheka uku najigaragaza mwenzangu anaumia...Mama akaona akawahi kufunua ungo ndio nikaona kaka angu anapumua tena ile haraka haraka...doh!!
Hujamalizia eh nin kilifuata?
 
Ha ha ha ha[emoji23] ulitisha
Mimi nina siri nzito mpaka leo hua sijamwambia mtu, nilipomaliza form 4 kuna siku tulibaki wawili na shangazi home
Mimi niko sebuleni nacheki movie,sa wakati naenda kukojoa nikapita mlango wa chumba cha wageni uko wazi kuangalia nikamuona yuko uchi kitandani ananiangalia anajidai kustuka nikacheka tu nikasepa
Ulikua na umri gan?
 
Back
Top Bottom