Yuko Kariakoo maghorofani.Pole.... Aliyekubaka bado yupo??? Kama yupo kamuulize ilikua mbele au nyuma
Ulikuwa bado ujazaliwa wewe....., ki ukweli tumetoka wengine background zetu ni ****** tumefika hapa kwa neema !Umetisha kumbe ni ww
Hahaa aisee mi nilikua sitaki ujinga na hela kabisa. Yaani nikikuta pesa imekaa kihasara hasara napita nayo then namsingizia pacha wangu.Mirhea please, funguka na wewe japo moja tu [emoji122] [emoji18] [emoji23]

Shabashhhhh!!! Kama nakiona hicho kipigo cha mbwa mwiziHahaa aisee mi nilikua sitaki ujinga na hela kabisa. Yaani nikikuta pesa imekaa kihasara hasara napita nayo then namsingizia pacha wangu.
Sasa siku moja nikawekewa mtego maza akaacha kipima joto chake sitting room, kama kawaida jambazi sugu nikacheki huku na kule hakuna mtu kumbe maza na dada wa kazi wamejibanza sehemu wananicheki tuu, mimi huyo nikazama kwenye pochi nikachukua kadhaa ile nataka kuchomoka nikafanye yangu mara maFBI hawa hapa.
Nilikula mkon'goto toka siku hiyo nikawa mlokole hata nikiokota hela barabarani nampelekea maza.
Huyo jamaa anakaa mtaani kwetu huku Mabibo Loyola, amekuwa mwez mchanaga, anaitwa Sultanpole saja
mi nilimpiga mwinyi kwenye mkutano daah nliisoma namba
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.
Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
We ni ibra?pole saja
mi nilimpiga mwinyi kwenye mkutano daah nliisoma namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kuipua sufuria la chakula la jirani nikasepa nalo polini nikalala nikalitelekeza hapo polini
hapana mi ndo yule niliemkumbatia kaka pale taifa 2010We ni ibra?
hahahaha albadir inafanya kaziHuyo jamaa anakaa mtaani kwetu huku Mabibo Loyola, amekuwa mwez mchanaga, anaitwa Sultan
:daah,Kuvunja redio kwa ajili ya kuwaona watangazajiSiku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.
Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaahme nilikua najifungia chumbani kisha nakunya kwenye mfuko mweusi
then naenda tupa jalalani
Kukojolea waya wa umeme? Nilikuwa nafanya research kama umeme unaweza kusafiri kupitia mkojo - urine electric conductivity testRoho ya pepo ilikuingia mapema sana jamaaa