Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Nilipanda kwenye nguzo ya simu Nikaunganisha waya tukawa tunapigisha simu ulaya, matokeo yake siku moja likpita gari ya polisi ikakuta watu wamepanga foleni wakisubiria kupiga simu baadhi walidandiwa wakapelekwa jela akiwemo mjomba wangu aliyekuwa akikusanya hela bimkubwa akaamua kunihamisha shule niende boarding kukimbia kesi maana kuna watu walinitaja kuwa ndio ninaeunganisha waya!
 
Mirhea please, funguka na wewe japo moja tu [emoji122] [emoji18] [emoji23]
Hahaa aisee mi nilikua sitaki ujinga na hela kabisa. Yaani nikikuta pesa imekaa kihasara hasara napita nayo then namsingizia pacha wangu.
Sasa siku moja nikawekewa mtego maza akaacha kipima joto chake sitting room, kama kawaida jambazi sugu nikacheki huku na kule hakuna mtu kumbe maza na dada wa kazi wamejibanza sehemu wananicheki tuu, mimi huyo nikazama kwenye pochi nikachukua kadhaa ile nataka kuchomoka nikafanye yangu mara maFBI hawa hapa.
Nilikula mkon'goto toka siku hiyo nikawa mlokole hata nikiokota hela barabarani nampelekea maza.
 
Shabashhhhh!!! Kama nakiona hicho kipigo cha mbwa mwizi
 
Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.

Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watundu wenzangu ooooyee, mie naogopa hata kuandika maana mengine yalizidi mipaka na hivi nitajulikana tu kwa ndugu zangu huku jamvini. Lakini mwisho wa siku nikipelekwa polisi kukiri naacha utundu. Nikaweka kiapo cha maandishi na dole gumba kabisa. Nilisha fungua mpaka mataruma ya reli ili tren zipate ajali. Bonde la mzimbazi, rudi vingunguti na maeneo yote hayo. Ila kwa sasa ni mtu mpole sana
 
Niliwahi kuipua sufuria la chakula la jirani nikasepa nalo polini nikalala nikalitelekeza hapo polini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nusura nivunje shingo mm sitaki kukumbuka nilikua nafanyaje aise utoto wacha tuuu..
 
Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.

Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
:daah,Kuvunja redio kwa ajili ya kuwaona watangazaji

:
 
Roho ya pepo ilikuingia mapema sana jamaaa
Kukojolea waya wa umeme? Nilikuwa nafanya research kama umeme unaweza kusafiri kupitia mkojo - urine electric conductivity test
 
Back
Top Bottom