maukijunior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 233
- 366
Duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] , mkuu we umetishame nilikua najifungia chumbani kisha nakunya kwenye mfuko mweusi
then naenda tupa jalalani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] , mkuu we umetishame nilikua najifungia chumbani kisha nakunya kwenye mfuko mweusi
then naenda tupa jalalani
Haki nimecheka sana eti mjusi kafiriNilikuwa na tabia 'mbaya' pindi nikitoka tu shule mchana, naishia sebuleni natupa begi langu then badala ya kukagua ma-hot pot mimi naenda jikoni moja kwa moja, naigusa plate ya jiko la umeme ( kama ni mkaa basi nadumbukiza mkono kwenye sufuria ya majivu ya kuhifadhia moto).
Nikihisi ujoto joto kwa mbaaaali basi najua chakula kipo so naenda chumbani kula (chakula tulikua tunawekewa chumbani moja kwa moja) na nikihisi ubaridi basi najua chakula hamna ko nafanya maarifa ya kumenya viazi mapemaa kabla ya kuingia room.
Sasa kuna siku nimerudi tu nyumbani kama kawaida nikafanya 'kamchezo kangu', mama weeeee kumbe jiko limetokwa kuzimwa muda si mrefu, kiganja chote kiliungua kikawa flat, prints zote za kwenye viganja zilifutika kikawa kama kichwa cha 'mjusi kafiri'. Daaaah, sijui nilikuwa nawaza nini mjinga mimi
Hizo fimbo mana aliporudi au uliponea chupu chupuKujigaragaza kwenye vumbi baada ya kuogeshwa ili kumkomoa dada.
Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
DuhMie niliwahi kubakwa.
Ila sikujua kama ilikuwa mbele au nyuma.
Makubwa haya!Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
Aisee nimecheka sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakumbuka wakati niko kidato cha pili katika shule moja ya dini huko kanda ya ziwa, nilikua mimi pamoja na wenzangu tulijiwekea utaratibu wa kubaki shuleni kujisomea mara baada ya muda wa masomo kuisha...siku hiyo ya ijumaa kama ilivyokuwa kawaida wakati natafuta darasa zuri kwaajili ya kujisomea na masela, nikaona darasa moja limefanyiwa usafi vizuuri lakini hawakuzoa takataka/ uchafu walioufagia,,,basi mimi nikachukua chaki nikaenda mbele ya uchafu nikaandika HATUZOI...kumbe mwalimu wa zamu alikua hajapita kukagua usafi asee...alipokuta uchafu na yale maneno alikasirika balaaa ,,,akatuita sisi tuwe mashahidi wake siku ya jumatatu, kwamba kuna wanafunzi wamefanya usafi lakini wamegoma kuzoa takataka..Ilipofika jumatatu wale wanafunzi walipata tabu sana...kipigo chake kilikua ni cha mbwaKoko...,iliniuma sana kwavile hawakuandika yale maneno na wamepata kichapo lakini kwa jinsi mwalimu alivyokua amewaka nisingejisema kuwa mimi ndiye nimeandika...
Madame B acha mambo yako bhanaMie niliwahi kubakwa.
Ila sikujua kama ilikuwa mbele au nyuma.
Hio harufu ulikuwa unaivumiliaje huko ndanime nilikua najifungia chumbani kisha nakunya kwenye mfuko mweusi
then naenda tupa jalalani