Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

The night miracle of instabull.

Ac Milan 3-3 Liverpool.(UEFA final)

Thierry Henry,A man on the spaces.

R.Madrid 0-1 Arsenal.(UEFA semi)

Zinedine Zidane,A really football artist.

Brazil 0-1 France.
 
Real madrid vs Man city 2022 champions leauge semi final Rodrygo goes

Man City 3 vs Astovilla 2 2022 premium leauge last game kevin debyrune jini anatoa bonge la assit kwa Gondugan ya Goli la tatu

Ajax vs spurs semi final champions leauge 2019 joahn crufty arena what a Goal from Hakim Ziyech na Lucas moura alitupia Goli tatu

Netherland vs Brazil.2010 Robo fainali ya kombe la Dunia South Africa Robinho dakika ya 9 tu aangia kambani wesley Sjinder anachoma Goli na kufunga Goli la pili anakimbia kushangila huku anapiga kipara chake

Spain vs Netherland word cup final.2010 Andera iniesta anafunga Goli dakika za mwisho kabisa spain anabeba kombe

Livepoor vs Barcelona Anifield 2019 Champions leauge semi final divoki origi anatupia Goli mbili

Barcelona Vs Atletico madrid 2013/2014 la liga. final match Ateltico madrid anabeba ndoo ya la liga mbele ya Barcelona kwa kutoa sale ya goli moja moja Camp Nou

Inter milan vs Barcelona Champions leauge semi final 2010 San siro italy Diego milito wesley snejider Maicon wanaipa inter milan ushindi wa Goli tatu

Bayern munich vs Chelsea champions leauge final. 2012 Munich Germany dider Drogba Toni kroos alilia siku nzima Bayern hawakuamini kilichowatokea unapoteza fainali kwenye uwanja wa nyumbani

Livepoor 4 vs Arsenal 4anfield anderea asharvin anatumia chuma ya nne dakika za mwisho kabisa 2008/2009

Simba 3 vs Yanga 3 Ngassa alitoa ahadi ya kuchoma nyumba asipowafunga Simba Hongera kwa mombeki na Gilberti kaze

Man united vs Chelsea 2008 UEFA champions leauge final Moscow Russia John terry anakosa penati

Mexico vs Netherland 2014 word cup Brazil Round of 16 hadi dakika ya 80 mexico alikua anaongoza goli moja ila hadi kufika dakika ya 94 wa dutch wanaenda kucheza Robo fainali

Brazil vs France 2006 Robo fainali ya kombe la Dunia Germany Brazil anakufa Goli moja sifuri zidane aramba matobo wa Brazil

Ac milan vs Livepoor champions leauge final 2007/2008 Filippo inzaghi anatia kamba mbili kipindi cha pili milan anaenda kubeba champions leauge baada ya kupoteza fainali 2005 Goli la livepoor lifungwa na Peter crouch

Man united 4 vs Man City 3 2009/2010 OT Micheal owen anapiga Goli la nne dakika ya 94 ila Bellamy alisumbua sana kwenye hii mechi

Atletico Madrid1 Vs 4Real madrid champions leauge final 2014 lisbon Sergio Ramos anakomboa Goli dakika ya 90+ Cristiano Ronaldo anaweka rekodi ya kufunga magoli mengi kwa msimu mmoja kwenye Historia ya ligi ya mabigwa ulaya anafunga Goli 17

Man city vs QPR 2011/2012 what a Goal from Aguerooooooo Agueroooo city win premium leauge title mbele ya Sir alex Ferguson

Chelsea 4 Livepoor 4 2009 Robo fainali ya ligi ya mabigwa barani ulaya Stamford bridge ilikua Bonge moja la game nakumbuka Goli la Alex

Chelsea vs Barcelona 2009 andrea iniesta anawaliza Chelsea dakika za majeruhi Barcelona anaenda kucheza fainali ya UEFA na United Rome Italy

Arsenal 4 Vs New castle 4 Mechi ya ligi kuu England New castle Anachomoa Goli zote NNe marehemu Tiote Ndio anafunga Goli la Mwisho kwa shuti la Mbali sana

Germany vs Italy Euro semi final 2012 Mario baloteli anafunga Goli la Ushindi kwa Italy kwa Bonge la Shuti anavua shati anatunisha Misuli

Spain vs Germany Euro 2008 Fernando Torres anafunga Goli moja Goli linalala Spain anakua Bigwa wa Euro 2008

Barcelona 6 vs Psg 1 what a come back from Barcelona Neymar aliupiga mwingi sana faulo ya Goli lake anafunga Goli la penati anatoa assit ya Goli la mwisho

Belgium.3 vs Japan 2 2018 Russia word cup Round of 16 kipindi cha kwanza japan anaongoza Goli mbili kwa 0 kipindi cha pili Belgium wanarudi wanapindua meza dakika za mwisho Belgium wanafunga Goli la tatu

Italy vs France 2006 word cup final Germany what a penalty from zidane ila vichwa vile alivyomgonga muitaliano hadi leo havisahuliki

Barcelona 4 Arsenal 1 2009/2010 championsns leauge Messi anafunga Goli nne peke ake

Mechi zipo nyingi sana bado apao game za Seria A CAF champions leauge hapana huwezi kumaliza wacha tuishie apo
 
Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii.

Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo goli la ugenini limefutwa kwenye mashindano ya Ulaya na technolojia ya VAR inatumika.

Nimeangalia fainali 6 za kombe la dunia, toka 2002 hadi 2022. Nimeangalia zaidi ya fainali 14 za Uefa Champions league. Nimeangalia mechi nyingi sana za mashindano tofauti tofauti na zenye matukio ya kusisimua na matokeo ya kustaajabisha....Jaribu kuwaza,,

Nani amesahau kuhusu usiku wa Liverpool dhidi ya Ac Milan 2005?..Je ile comeback ya Barcelona dhidi ya PSG 2017?...vipi kuhusu usiku wa Drogba pale Allianz Arena 2012?....Bila shaka wote tunakumbuka goli la Iniesta lilivyowapa ubingwa Spain mbele ya Uholanzi pale Soccer city kwa madiba....Na vipi kuhusu ile Acrobatic ya Wayne Rooney dhidi ya Man city dakika za kuelekea mwisho kabisa kwenye mechi muhimu ya kuamua bingwa wa EPL 2010/2011...Mungu amlaze pema Cheikh Tiote anayetukumbusha Comeback ya Newcastle dhidi ya Arsenal game ambayo Newcastle wanatoka nyuma kwa bao 4 na kufanya matokeo kuwa 4 kwa 4...vip kuhusu Madrid dhidi ya City UCL mwaka jana?

Hakika kuna mechi nyingi sana ambazo tumezishuhudia na kuzifurahia. Na ambazo zilituacha na kumbukumbu nzuri sana mioyoni mwetu. Lakini pamoja na hayo, kuna mechi moja ambayo kwangu mimi nimeiweka katika kilele cha ubora. Ndiyo, ni Mechi Bora zaidi ya soka ambayo nimewahi kuishuhudia. Unataka kuifahamu?

Usipate tabu, rudisha kumbukumbu zako hadi Jioni ya Tarehe 18.12.2022 pale Qatar...ARGENTINA vs FRANCE....Dakika 120 za dhahabu. Ni mechi kubwa iliyoamuliwa na wachezaji wakubwa katika hatua kubwa ya mshindano makubwa zaidi ya soka duniani.

Kwangu mimi Argentina Vs France ndio mechi yangu bora zaidi ya soka niliyowahi kuishuhudia toka nimeanza kuangalia soka....

Tuambie kwa upande wako, ipi mechi bora kwako!!!
Yanga 5-Simba 1
 
1. Ajax vs Spurs, nusu fainalu ya uefa 2019, mechi ya pili.

2. Liverpool vs Barcelona, nusu fainali ya uefa 2019, mechi ya pili.

3. France vs Argentina, fainali ya kombe la dunia 2022.
 
Uliangalia fainali ya euro 1996 ya Ujermani vs Czechoslovakia!?? ....
Hapana mkuu.
Fainali ya kwanza kabisa kuishuhudia ilikua ya france na Brazil, brazil tukamkanda goli 3.

France alipiga ball acha kabisa, zidane alikiwasha, hawatomsahau wabrazili.

Fainali zangu bora👇
1 Argentina and france, ARG tukabeba ubingwa
2 France and brazil, france tukabeba ubingwa
 
Back
Top Bottom