thanks my lovely oneJiandae na week hii nikupeleke kule pa siku zote
waoooooooooPicha inajieleza tuuuView attachment 844591
ya nyoka .......NyamaNyama nyama nyama.......Nyama,
Ya mbuzi......... Nyama,
Ya kuku............ Nyama,
Ya mbwa........... Nyama,
Ya paka.............. Nyama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilivyoona tu comment yako nikakumbuka huo wimbo.ya nyoka .......Nyama
umenikumbusha huu wimbo aiseeee
Wale vijana wa kwa Morombo tunyooshe vidole..Eeeh bwana wali ndondo ni mchanganyiko wa wali na nini?
jaman unaninyanyasia huyu my kaka hadi najisikia vibaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilivyoona tu comment yako nikakumbuka huo wimbo.
Mwambie kaka yako ana kesi, hivyo aandae kabisa wakili [emoji4]
nimenyoosha miwili mkuuWale vijana wa kwa Morombo tunyooshe vidole..
Cc Azarel
View attachment 844604
Sent using Jamii Forums mobile app
Usininukuu vibaya, nimekwambia umwambie ana kesi...hayo mengine yanatoka wapi?[emoji53]jaman unaninyanyasia huyu my kaka hadi najisikia vibaya
nilivyoachana nae alikuwa mnene mnene lakini nina wasi wasi now yuko mwembamba
pls usininyanyasie kaka angu
Nleterewa Nganengo njoo huku
hapo ndo penyewe sasa vingine tupa kuleUgali na nyama choma ya mbuzi+mboga za majani(sio hizi zinazolimwa dar)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji111] [emoji111]Wale vijana wa kwa Morombo tunyooshe vidole..
Cc Azarel
View attachment 844604
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hii kitu ukianza hauachiKitimoto choma na Robertson baridiii....nahisigi namaliza utamu wa dunia yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise! Karibu sana ule nyama zenye damu damu..[emoji41]nimenyoosha miwili mkuu
Addiction mbaya sana....we acha tuuhahaha hii kitu ukianza hauachi
haahaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1] atare sana....mkuu mbona twafanana jmnHaujawahi kunikinai kamwe, usiombe upatiwe kiporo na chai ya rangi...