Tuambie msosi unaoukubali sana

Tuambie msosi unaoukubali sana

Picha inajieleza tuuu
20180823_100623.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilivyoona tu comment yako nikakumbuka huo wimbo.

Mwambie kaka yako ana kesi, hivyo aandae kabisa wakili [emoji4]
jaman unaninyanyasia huyu my kaka hadi najisikia vibaya
nilivyoachana nae alikuwa mnene mnene lakini nina wasi wasi now yuko mwembamba
pls usininyanyasie kaka angu

Nleterewa Nganengo njoo huku
 
Back
Top Bottom