bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Nimebadili tena..Mm napenda nyama jamani yaani iwe ya kuchoma au kukaanga daah na tundizi pembeni na kabeer kabaridiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebadili tena..Mm napenda nyama jamani yaani iwe ya kuchoma au kukaanga daah na tundizi pembeni na kabeer kabaridiii
Bila shaka unalikitambi wewe..!Kitimoto choma na Robertson baridiii....nahisigi namaliza utamu wa dunia yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
auwiiiiiiii [emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️Wale vijana wa kwa Morombo tunyooshe vidole..
Cc Azarel
View attachment 844604
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mie huwa nawaambia kausha kidogo
duuuh yaani na mimi nime over react kwa kweliUsininukuu vibaya, nimekwambia umwambie ana kesi...hayo mengine yanatoka wapi?[emoji53]
Sasa unamuuliza nyoka kama anajua shimo..[emoji3][emoji3]hapana mie huwa nawaambia kausha kidogo
kumbe unapajua eeee
vzr sana
Nyama nzuri inakuwa imechinywa muda huo huo..! Achana na nyama zinazokaa kwenye freezer kwanza afu ndio zinachomwa.hapana mie huwa nawaambia kausha kidogo
kumbe unapajua eeee
vzr sana
Haahahahahahaha nimeacha mkuuu
haswaa na ladha yake ni original sio ile yenye ladha ya kifirji frijiNyama nzuri inakuwa imechinywa muda huo huo..! Achana na nyama zinazokaa kwenye freezer kwanza afu ndio zinachomwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoyeeeeeee [emoji41]haswaa na ladha yake ni original sio ile yenye ladha ya kifirji friji
teh teh
Wapenda nyama hoyeeeeeeeeeeeeeee
haahaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1] atare sana....mkuu mbona twafanana jmn
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugali samakirejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Dompo je ?Kitimoto choma na Robertson baridiii....nahisigi namaliza utamu wa dunia yote!
Sent using Jamii Forums mobile app