Tuambie msosi unaoukubali sana

Tuambie msosi unaoukubali sana

Usininukuu vibaya, nimekwambia umwambie ana kesi...hayo mengine yanatoka wapi?[emoji53]
duuuh yaani na mimi nime over react kwa kweli
nisamehe my love... next time nitajirekebisha

haya nishamwambia atakuja kujibu
 
rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Ugali samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom