Tuambie msosi unaoukubali sana

Ila chifu umekuja kibabe sidhani kama ungefanya jambo ilo kama ungekua unanifahamu
Usimshushe usie mjua


Ni vile tu haunielewi. Ni mtu wa matani sana japo sio mara zote. Relax mkuu.

Niwie radhi kama nimekukwaza kwa namba moja ama nyingine. Vilevile sina tabia ya kudharau ID ya mtu kuanzia nnaemfaham au nisiyemjua. Siwezi kukushusha kwa namba yeyote ile.

Weka hapa misosi unayoipenda. Jioni yangu leo kama unavyoona carbamazepine anakalangiza mambo ameshanialika apointimenti...
 
wali na njegere za nazi (sio baresa) zilizochanganywa na green beans
 
mimi anything with nyama hujanitoa hapo

btw lazima msosi wangu uwe na finyango hata viwili ndo nifurahi...any type of nyama
Nyama nyama nyama.......Nyama,
Ya mbuzi......... Nyama,
Ya kuku............ Nyama,
Ya mbwa........... Nyama,
Ya paka.............. Nyama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Ugali na kipande cha Sato au Sangara kilichokaangwa kisha kikapikwa ROAST hunitoi. Bila kusahau maziwa mtindi pembeni
 
mkuu naona upo makini sana, jina na misiso wapi na wapi! haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…