Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu[emoji120][emoji120]Bila io jina familia yangu haipo
Asante kwa jibu
Ila chifu umekuja kibabe sidhani kama ungefanya jambo ilo kama ungekua unanifahamu
Usimshushe usie mjua
Kua na amani kijanaDah! Bado unathubutu kutaja PM.
Narudia tena, sema msosi gani unaupenda kisha shabikia wengine wanapenda kitu gani, inatosha.
Nyama nyama nyama.......Nyama,mimi anything with nyama hujanitoa hapo
btw lazima msosi wangu uwe na finyango hata viwili ndo nifurahi...any type of nyama
Bila io jina familia yangu haipo
Asante kwa jibu
nimepiga mchana ugali wa uwele uliochanganywa na dona mlenda wa karanga pamoja na uduvi uliokaangwa wenye pilipili acha kabisa!
Sawasawa mfamasia...humu kuna gentamycine,carbamezapine,chloromphenicol,atropine..wote hawa ushawauliza kwanini walijiita hivyo??Nisamehe chifu io jina iko na kitu kwenye maisha yangu na pm yake kafunga
Ndo nkamuuliza hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mkwara huu jamani
Ndio unianzishie uzi sasa.
ha...haha......ha....ha...do! lazima unatoka kwa wafugaji.Bila mtindi ni ubatili mtupu!
ilo jina lake halitakiwi kukosa hata siku moja nyumbani!!Sawasawa mfamasia...humu kuna gentamycine,carbamezapine,chloromphenicol,atropine..wote hawa ushawauliza kwanini walijiita hivyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalifahamu vizuri chiefilo jina lake halitakiwi kukosa hata siku moja nyumbani!!
Najua umeniwazia nje ya box
Ila na wewe unaifahamu chifu?
mkuu naona upo makini sana, jina na misiso wapi na wapi! hahaSasa we jamaa hapa tunaongelea misosi au majina mkuu? Ukitaka ufatifi wa hizo mambo anzisha uzi mwingine tafadhali. We umeulizwa kwa nini unajiita katib mkoa ?
Alaf kati ya watu woooote umeona carbamazepine ndio umuulize...kaa kwa tahadhari. Sifikirii utapenda kuchezea BAN ya mwaka