Tuambie msosi unaoukubali sana

mkuu naona upo makini sana, jina na misosi wapi na wapi. haha
 
Hayo mambo yenu ya pwani wapi na wapi na sie wa mkoani? Uduvi sijui ni vitoto vya sanaki flani sivijui jina...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimevikumbuka!
Natamani ungejua kilichonifanya nivikumbuke [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimevikumbuka!
Natamani ungejua kilichonifanya nivikumbuke [emoji2] [emoji2] [emoji2]


Huu ndio uzi wa misosi na mahanjumati ya kaliba zote. Mwagika tu.
 
Halaf mi nikiwa nakula vitu navyovipenda naanza kujiambia asa tunakufa ili iweje jamani si tubaki hivi hivi niwe najilia hutu tuchakula,yaan huwa naumiaa

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndio maana Biblia inasema chochote unachoweza kukifanya sasa hivi, kifanye kwa nguvu zako zote maana huko tuendako hakuna tena haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…