rosti ya chui?? chui huyu tiger au
Hahaha.. alafu unakua na kisu pembeni kwa ajiri ya kuukata mlenda pale unaponyanyua tonge kuelekea mdomoni.Ugali kwa mlenda, utelezi wake ni raha kwangu, matonge yanateleza tu na shibe ya uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae na week hii nikupeleke kule pa siku zotemimi anything with nyama hujanitoa hapo
btw lazima msosi wangu uwe na finyango hata viwili ndo nifurahi...any type of nyama
Dar mbona mboga organic zipoUgali na nyama choma ya mbuzi+mboga za majani(sio hizi zinazolimwa dar)
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo ndio ila mboga zinazolimwa mikoani huko aisee ni nzuri zaidi ya hizo za darDar mbona mboga organic zipo
[emoji252] [emoji479]
InawezekanaZipo ndio ila mboga zinazolimwa mikoani huko aisee ni nzuri zaidi ya hizo za dar
Sent using Jamii Forums mobile app