Tuambie msosi unaoukubali sana

Tuambie msosi unaoukubali sana

ndio chakula nacho kipenda
20180823_150020.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: sab
Nyama nyama nyama...nahisi it runs in the family. Kuna mtu ktk family anakulaga hata vipande 3v ikiwa mbichi.
Hata katk sherehe huwa naanza kula nyama kabla ya vingine hahaaaa.........
 
rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
Mishikaki ya chura na dona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom