Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Pamoja na kudhibiti population tuanze na kupunguza matumizi yasiyo ya msingi kudhibiti mapatoView attachment 3583110
Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi
1. Idadi ya watu milion 67+
2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65)
3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili
Ongezea hoja hizu ndogo ndogo
- katika hiyo nguvu kazi ya watu milion 25 kuna jobless, kuna kundi kubwa la wanawake wanaoamini kufanya kazi sio jukumu lao, kuna watu wavivu, na kuna watu ambao hawafanyi kazi ipasavyo mfano katika watumishi zaidi ya 40% wabafanya kazi chini ya kiwango kwahiyo katika hii nguvu kazi ya watu milion 25 labda milion 10 tu je hawa wataweza kuendesha nchi ya watu milion 67?
- population Tegemezi ni zaidi ya milion 40
- Kodi ya watu milion mbili kwa 67milion uwiano bado ni mbaya sana
- Bado kuna wakwaruaji
Haya mtu aje aseme kwa dhati kama inawezekana tanzania tusikope wala kuwa na madeni ukija na hoja ya rasilimali nitakujibu rasilimali huisha.
POPULATION YETU INATAKIWA KUANGALIWA UPYA
Hakika mkuuPamoja na kudhibiti population tuanze na kupunguza matumizi yasiyo ya msingi kudhibiti mapato
1.Ondoa viti maalumu vya ubunge na ubunge wa kuteuliwa
2. Serikali iachane na gari za kifahari
3. Punguza posho za wabunge, mawaziri, makatibu n.k, ondoa pesa za furniture na viburudisho
4. Tupambane na rushwa na ufisadi, pesa zinapigwa sana kwenye miradi, TRA wanakula rushwa sana kutoka kwa wafanyabiashara wakwepa kodi.
Remove chama kilichopo, wao ndio kikwazo cha hii nchiView attachment 3583110
Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi
1. Idadi ya watu milion 67+
2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65)
3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili
Ongezea hoja hizu ndogo ndogo
- katika hiyo nguvu kazi ya watu milion 25 kuna jobless, kuna kundi kubwa la wanawake wanaoamini kufanya kazi sio jukumu lao, kuna watu wavivu, na kuna watu ambao hawafanyi kazi ipasavyo mfano katika watumishi zaidi ya 40% wabafanya kazi chini ya kiwango kwahiyo katika hii nguvu kazi ya watu milion 25 labda milion 10 tu je hawa wataweza kuendesha nchi ya watu milion 67?
- population Tegemezi ni zaidi ya milion 40
- Kodi ya watu milion mbili kwa 67milion uwiano bado ni mbaya sana
- Bado kuna wakwaruaji
Haya mtu aje aseme kwa dhati kama inawezekana tanzania tusikope wala kuwa na madeni ukija na hoja ya rasilimali nitakujibu rasilimali huisha.
POPULATION YETU INATAKIWA KUANGALIWA UPYA
unawakosesha wananchi wako huduma muhimu kwa kutafuta kiki na ufahari kulipa madeni yasiyo na presha?View attachment 3583110
Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi
1. Idadi ya watu milion 67+
2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65)
3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili
Ongezea hoja hizu ndogo ndogo
- katika hiyo nguvu kazi ya watu milion 25 kuna jobless, kuna kundi kubwa la wanawake wanaoamini kufanya kazi sio jukumu lao, kuna watu wavivu, na kuna watu ambao hawafanyi kazi ipasavyo mfano katika watumishi zaidi ya 40% wabafanya kazi chini ya kiwango kwahiyo katika hii nguvu kazi ya watu milion 25 labda milion 10 tu je hawa wataweza kuendesha nchi ya watu milion 67?
- population Tegemezi ni zaidi ya milion 40
- Kodi ya watu milion mbili kwa 67milion uwiano bado ni mbaya sana
- Bado kuna wakwaruaji
Haya mtu aje aseme kwa dhati kama inawezekana tanzania tusikope wala kuwa na madeni ukija na hoja ya rasilimali nitakujibu rasilimali huisha.
POPULATION YETU INATAKIWA KUANGALIWA UPYA
View attachment 3583110

Tukiamua kutumia rasilinali zetu sio kwa manufaa ya wachache ila kwa manufaa ya taifa na watu wake,tukikomesha ufisadi na rushwa za kimkakati.View attachment 3583110
Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi
1. Idadi ya watu milion 67+
2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65)
3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili
Ongezea hoja hizu ndogo ndogo
- katika hiyo nguvu kazi ya watu milion 25 kuna jobless, kuna kundi kubwa la wanawake wanaoamini kufanya kazi sio jukumu lao, kuna watu wavivu, na kuna watu ambao hawafanyi kazi ipasavyo mfano katika watumishi zaidi ya 40% wabafanya kazi chini ya kiwango kwahiyo katika hii nguvu kazi ya watu milion 25 labda milion 10 tu je hawa wataweza kuendesha nchi ya watu milion 67?
- population Tegemezi ni zaidi ya milion 40
- Kodi ya watu milion mbili kwa 67milion uwiano bado ni mbaya sana
- Bado kuna wakwaruaji
Haya mtu aje aseme kwa dhati kama inawezekana tanzania tusikope wala kuwa na madeni ukija na hoja ya rasilimali nitakujibu rasilimali huisha.
POPULATION YETU INATAKIWA KUANGALIWA UPYA
1)kuondoa takataka ccm madarakaniView attachment 3583110

Tukiwa na Viongozi Wazalendo wengi kwenye Taifa zaidi ya Watu wenye maslai binafsi,Pamoja na kudhibiti population tuanze na kupunguza matumizi yasiyo ya msingi kudhibiti mapato
1.Ondoa viti maalumu vya ubunge na ubunge wa kuteuliwa, ondoa kati ya DC au DAS, RC au RAS
2. Serikali iachane na gari za kifahari
3. Punguza posho za wabunge, mawaziri, makatibu n.k, ondoa pesa za furniture na viburudisho
4. Tupambane na rushwa na ufisadi, pesa zinapigwa sana kwenye miradi, TRA wanakula rushwa sana kutoka kwa wafanyabiashara wakwepa kodi.
5. Rasilimali zetu za bandari, madini, gesi, mbuga za wanyama n.k kodi kwa wawekezaji zipandishwe mara mbili au tatu.
Nimependa point zako mbili,1)kuondoa takataka ccm madarakani
2)kuondoa uchafu wa masjid serikalini
3)kuondoa dini kwa ujumla kwa asilimia 100 serikalini
4)kuzuia wanasiasa kuwa wapiga kura kwenye chaguzi za kiserikali.
5)kuweka daraja 5 za uraia lengo ni kuzuia state capture kama iliyo fanya sasa na kina ROSTAM AZIZI
6)Kuweka mfumo sahihi wa nchi ambao ni š„SERIKALI YA KIJAMAA NA UMA WA KIBEPARI. Kinyume na huu tulip nao sasa wa serikalini ya kipepari na uma wa kibepari.
7)kufuta viti vya upendeleo bungeni .
8)Kuzuia kwa asilimia 100 mwanamke kuwa kiongozi popote selikalini.
9)kufuta kidato cha 5 na 6 ni uchafuzi na upotevu wa rasilimali na fedha na muda ...elimu ya ya msingi iwe miaka 8 na iwe sawa na kidato cha pili sec miaka 3 tu baada ya hapo ni chuo.
10)kuzuia brain wash ya vyombo vya habari vya dini ...hivyo kuwe na chombo kimoja tu cha dini kuzuia maudhui ya kutoa mapepo na kuombea magonjwa na uponyaji kwenye vyombo vyote vya habari ...injili isomwe kama ilivyo andikwa na msahafu usomwe kama ulivyo andikwa ...pasiwe na ujuaji binafsi wa wakristo wala waislamu utakao rushwa kwenye vyombo vya habari..
10)muungano uvunjwe kwa sababu umesha kuwa ni muungano wa mafarakano hivyo unaendeshwa kuhujumiana baina ya wabara na wazanzibari.
11)kodi ya VATI kwa wazawa iwe ni nusu ya wawekezaji wageni.
12)bei ya umeme ishushwe kwa asilimia 50%
13) ujenzi wa barabara za kuunganisha mikoa ufutwe tuunganishe mikoa na SGR YA UMEME TU NCHI NZIMA ..yaani usafirishaji baina ya mikoa kwa mikoa na nchi jirani iwe ni SGR YA UMEME TU hapa tutapunguza matumizi ya pesa za kigeni kwa asilimia 40%
13)badara ya kujenga BRT TUJENGE TRAM ZA UMEME ZA KISASA hii itafanya usafiri wa umma kuheshimika hivyo wenye magari kuacha magari nyumbani na kutumia TRAM
14)Mifuno ya mituhani vyuoni ibadilishwe kusiwe na mwalimu anaye weza kufaulisha au kufelisha kwa utashi wake binafsi ..mitihani itunge na taasisi maharumu siyo mwalimu wa vyuo au vyuo husika hapa degree za vichupi na za rushwa zitakoma na kupata wasomi HALISI
MAMBO NI MENGI NA YOTE YANATAKIWA KUFANYIKA KWA PAMOJA NIMEORODHESHA MACHACHE . kushuka kwa bei ya umeme itawafanya mafisadi wa gesi kushusha bei
Haya yataweza tutakapo mzika huyu mkoloni- ccm.Kuboresha hoja: Tanzania inaweza kujitegemea kwa kutumia viashiria vya asilimia na takwimu. Kwa sasa, uwiano wa kodi kwa Pato la Taifa ni chini ya 12%, ikilinganishwa na wastani wa Afrika Mashariki wa 16%. Kuongeza wigo hadi 16% kunaweza kukusanya shilingi bilioni 5,000 za ziada. Hivyo, lengwa ni kuwakusanya zaidi ya 90% wa walipaji kodi wanaojulikana kwenye sekta rasmi, na kuleta sekta isiyo rasmi (inayochangia 30-40% ya Pato) kwenye mfumo kwa kupanua matumizi ya Namba ya Utambulisho wa Mkodi (TIN) kwa kila mtu mwenye umri wa kufanya kazi (milioni 27).
Mirabaha: Kwa madini (dhahabu, almasi), toza angalau 8-10% ya thamani ya mauzo (sasa ni 6%). Kwa gesi asilia, weka kiwango cha 12-15% kwenye faida kabla ya kodi. Hii inaweza kuongeza mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 40% kutoka raslimali.
Kupunguza matumizi: Punguza idadi ya mawaziri kutoka 26 hadi 18 (kupunguza 30% gharama za ikulu na utawala). Kata safari za nje kwa 25% na posho za vikao kwa 20%. Tumia ununuzi wa umma kwa njia ya kidijitali kupunguza ufisadi unaokadiriwa kugharimu 15% ya bajeti ya kila mwaka. Kwa jumla, hatua hizi zitawezesha kukidhi mahitaji ya tegemezi 60% ya watu (milioni 40) bila kukopa.