Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujuane wale tulio soma comment tukasindikiza na kuangalia profile picha.From my Name Jestina.......
Nazichanga Ki Hushpappi.Binafsi naamini kila mmoja ana sababu yake iliyomfanya kujiita hilo jina anatumia hapa JF. Sio mbaya ukitufungulia password za jina lako. Kuna wengine IDs zao zimebeba historia au tukio fulani nyuma yake. Kuna wengine IDs zao pengine ni majina ya watu au vitu walivyowahi au wanavyoendelea kuvihusudu. Jaribu kutupa maana na sababu ya kutumia hiyo ID.
Mimi nilijiita FOHADI kwa sababu ni moja ya kanuni zangu za kila siku ambapo kila nikilikumbuka jina langu nakuwa nimejikumbusha kitu muhimu sana kwajili ya maisha yangu.
FOHADI ni abbreviation ya maneno Focus, Hardwork and Discpline.
Share nasisi kwanini ulichagua hiyo ID miongoni mwa majina mengine.
Hii ni hatari na robo ^tar-two^kuna Mkuu mmoja atapita hapa mda sio mrefu..anajiita cocastic ila mimi najua kwanini anajiita hivyo..najua hatatoboa hiyo siri ila ngoja niwaibie siri yake.
siku moja miaka mingi kidogo imepita mimi nayeye tukiwa wanafunzi kutoka shule mbili tofauti mkoani Dsm tulikutana sehemu kwa mdahalo maalumu wa wanafunzi. Wakati namalizia mchango wangu kwenye ule mdahalo, nilimalizia kwa maneno haya 'thank you so much organizers for the fantastic debate'.... Sasa ilipofika zamu ya huyu mkuu nae ikabidi apige chabo kidogo akasema 'I feel so lucky to participate in this cocastic debate'...Ukumbi mzima ulivunjika mbavu.
Basi ameona ndio iwe ID yake hiyo..
Lakini mbona wewe Diazepam una fujo kama Hajj Manara!???Diazepam ni dawa inayotumika kumtuliza mtu na akalala(valium). Siku nafungua hii ID nilikuwa nimempa mgonjwa hii dawa alikuwa na kelele na fujo kibao ila baada ya kupata diazepam akalala chap no kelele
so nikasema mimi ntakuwa mtuliza ghasia ndio nkajiita diazepam. Kuhusu hiyo avatar zile meme zilikuwa zinafurahisha sana wakati jamaa ametrend.
Tunajua wewe ni Mnyatiaji sana zaidi hata ya Nyati ndiyo maana unaandika Kiswahili kibovu cha Nyati Serengeti. Anywzs, tuchapeni kazi, au nasema uongo ndugu zangu!???Nazani mpka kufika ndani ya huu uzi mtakua mshanielewa nimefikaje[emoji38][emoji38]
This is soooooo pepsistic kwa kweli!!!!kuna Mkuu mmoja atapita hapa mda sio mrefu..anajiita cocastic ila mimi najua kwanini anajiita hivyo..najua hatatoboa hiyo siri ila ngoja niwaibie siri yake.