Tuambie vitu vitatu unavyovitarajia msimu mpya wa ligi za Ulaya

Tuambie vitu vitatu unavyovitarajia msimu mpya wa ligi za Ulaya

Wolves kumpata Diego costa.

Alison kuonekana wakawaida

VVD watu watamdribble kutoa kelele za media.
 
Neymar kutua laliga..

Hazard top assist

Atletico kula hasara kwa felix
 
Neymar kutua laliga..

Hazard top assist

Atletico kula hasara kwa felix
Nope

Atletico hawajawahi kulipa hela nyingi kwa garasa, uje ufukue ikiwa tofauti

Atletico wametoa Aguero, Torres, Diego Costa na huyo Grienzmann
 
Wolves kumpata Diego costa.

Alison kuonekana wakawaida

VVD watu watamdribble kutoa kelele za media.
Allison kuwa wa kawaida sahau au hujaona anavyomsugulisha benchi Ederson?

Yaani Ederson atakuwa hata anaathirika kisaikolojia kwa kusugulishwa siku zote
 
Nope

Atletico hawajawahi kulipa hela nyingi kwa garasa, uje ufukue ikiwa tofauti

Atletico wametoa Aguero, Torres, Diego Costa na huyo Grienzmann
Felix amecheza msimu mmoja tu. Tena inasemekana nusu msimu
Ila tumezoea kuwaona atletico wakinunua cheap na kuwafanya mastaa
 
1:Man United kufukuza kocha mzunguko wa 14.

2:Arsenal atapigwa hat trick na mchezaji mmoja kwenye moja ya game za EPL.

3:Liverpool itaandamwa na majeruhi kwenye safu yake ya kiungo na ushambuliaji.

4:Bingwa atakuwa na tofauti ya alama kuanzia 7 dhidi ya timu namba mbili.

5:Mfungaji bora atakuwa na magoli 23.

6:Ushindi mkubwa utakuwa 6-0 na Man City ndiye ataupata dhidi ya timu mojawapo ya EPL.

7:OGS atapitia wakati mgumu akitakiwa na mashabiki aachie ngazi.

8:Wolves wataichakaza Arsenal hamtaamini.

9:Mourinho ataidhihaki United.

10:Chelsea watategemea Giroud kama mkombozi wao ila atakuwa na msimu mbovu na atapata magoli 9 tu.
Everton anachukua ubingwa
 
Sarri kukutana na city tena

Liverpool kukutana na barca tena.

Spurs vs city
 
Liverpool bingwa.. kuna vigogo watatu wanatoka top 4, arsenal kuendelea na msimu mbovu, man city kukamiwa kila Mechi.. ole gunar au lampard kutimuliwa
 
City
Spurs
L'pool
Arsenal
 
1.Man united kutwaa ubingwa wa EPL
2.Liverpool kumaliza nafasi ya pili
3.Chelsea kuwa timu ya kwanza kufukuza kocha.
4.Arsenal kufuzu kucheza europa kwa mara nyingine.
5.Man city kumaliza msimu katika nafasi ya tatu.
6.Spurs kumaliza ndani ya top four kwa mara nyingine.
Aiseee
Ngoja tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom