Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NopeNeymar kutua laliga..
Hazard top assist
Atletico kula hasara kwa felix
Allison kuwa wa kawaida sahau au hujaona anavyomsugulisha benchi Ederson?Wolves kumpata Diego costa.
Alison kuonekana wakawaida
VVD watu watamdribble kutoa kelele za media.
Felix amecheza msimu mmoja tu. Tena inasemekana nusu msimuNope
Atletico hawajawahi kulipa hela nyingi kwa garasa, uje ufukue ikiwa tofauti
Atletico wametoa Aguero, Torres, Diego Costa na huyo Grienzmann
Everton anachukua ubingwa1:Man United kufukuza kocha mzunguko wa 14.
2:Arsenal atapigwa hat trick na mchezaji mmoja kwenye moja ya game za EPL.
3:Liverpool itaandamwa na majeruhi kwenye safu yake ya kiungo na ushambuliaji.
4:Bingwa atakuwa na tofauti ya alama kuanzia 7 dhidi ya timu namba mbili.
5:Mfungaji bora atakuwa na magoli 23.
6:Ushindi mkubwa utakuwa 6-0 na Man City ndiye ataupata dhidi ya timu mojawapo ya EPL.
7:OGS atapitia wakati mgumu akitakiwa na mashabiki aachie ngazi.
8:Wolves wataichakaza Arsenal hamtaamini.
9:Mourinho ataidhihaki United.
10:Chelsea watategemea Giroud kama mkombozi wao ila atakuwa na msimu mbovu na atapata magoli 9 tu.
Aiseee1.Man united kutwaa ubingwa wa EPL
2.Liverpool kumaliza nafasi ya pili
3.Chelsea kuwa timu ya kwanza kufukuza kocha.
4.Arsenal kufuzu kucheza europa kwa mara nyingine.
5.Man city kumaliza msimu katika nafasi ya tatu.
6.Spurs kumaliza ndani ya top four kwa mara nyingine.
Duuh1.man city kubeba UEFA
2.GREIZIMAN UFUNGAJI BORA LALIGA
3.MANCHESTER UNITED KUMALIZA NAFASI YA 15
Mzee hapo kwa Ole December ndio hiihazard kuwasha moto wa hatar LA liga, ole sendeka kufuzwa kabla ya December,
lampard kuchukua manager of the month 3,
AiseeMan City au Tot mmoja anaweza kuchukua moja kati ya EPL, UEFA au FA.
Arsenal anaenda kuwa kibonde wa top 4
Leicester anashika nafasi ya 6
Chelsea na Lampard kuwashangaza wengi
Man Utd kushiriki tena Europa msimu unaokuja baada ya msimu ujao.
Liverpool anachukua any mickey mouse cup.
VAR kuendelea kuibeba Man UKurudia ruksa.
1)Manchester city kubeba ligi ya Uingereza,FA, na kutinga fainali ya uefa
2)liverpool 90+ points bila kutwaa ligi.
3)United kushushwa daraja