Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Historia yao inasisimua Sana. Nenda YouTube tafuta Amani Thani alikuwa Katibu mkuu wa Hizbu nae ni mmoja wa wahanga wa Yale mapinduzi, hakika hutachoka kumsikiliza.Asante kwa majibu.
Kama nitakuwa sikubebeshi mzigo mzito, Naomba msaada wa hili.
Labda, kwa kunisaidia ili niwajue vizuri; naweza kupata wasifu wa kila mmoja mpaka muda wanatoweka? Yaani hasa shughuli walizokuwa wakizifanya na hata ukaaji wao kwa jamii na mahusiano yao na uongozi wa nchi kwa wakati huo.
Natanguliza shukrani.
Hapana, hao ni Umma Party Youth Wing ambao ndio walipelekwa Cuba. SAS na Babu walikuwa kwenye political wing wakati Hanga yeye alikuwa ASP.Mkuu hawa ni SAS, Babu na Hanga?
Ingawaje inasemekana Hanga alifanya uhuni wa Kiafrika lakini bado Elena aliwahi kwenda Zanzibar ingawaje hakuwahi kumfahamu babake!Asante sana, Mkuu. Kwa maelezo ya kina. Mkuu, Post yako ime'summarise' vizuri sana maelezo mengi niliyopitia jana juu ya K. Hanga (R.I.P).
Pia nashukuru, Umeniwezesha leo kumuona 'mtanzania' mwenzetu Elena. Nina imani, akiamua kurudi nyumbani tutamkaribisha.
Shukrani, Mkuu, kwa ufafanuzi.Hapana, hao ni Umma Party Youth Wing ambao ndio walipelekwa Cuba. SAS na Babu walikuwa kwenye political wing wakati Hanga yeye alikuwa ASP.
Hapa Hanga (R.I.P) alituangusha waafrika. Hata hivyo, ni mapungufu ya kibinadamu yanaweza kusameheka.Inasemekana Hanga alikuwa very disappointed kusikia amezaliwa mtoto wa kike, kiasi kwamba akakata kabisa mawasiliano na familia yake iliyokuwa Russia.
Nchi mbli zilizppata uhuru zimeungana ikawa nchi moja... ila Kuna moja haipo kbs ndo tunaitaka TanganyikaIla mimi sijaelewa lengo haswa la lisu kuhusu muungano. Lakini ikipendeza turudiwe na Tanganyika yetu.
Ingawaje inasemekana Hanga alifanya uhuni wa Kiafrika lakini bado Elena aliwahi kwenda Zanzibar ingawaje hakuwahi kumfahamu babake!
Inasemekana Hanga alikuwa very disappointed kusikia amezaliwa mtoto wa kike, kiasi kwamba akakata kabisa mawasiliano na familia yake iliyokuwa Russia.
Aisee...nemeenda kuzifatilia. Nimeangalia moja ya 3/5. Mzee anatoa maelezo yanayofikirisha sana.Historia yao inasisimua Sana. Nenda YouTube tafuta Amani Thani alikuwa Katibu mkuu wa Hizbu nae ni mmoja wa wahanga wa Yale mapinduzi, hakika hutachoka kumsikiliza.
Ni vizuri kufanya hivyo kwa kuanzia lakini ki ukweli Historia ya Zanzibar (including ya Tanzania yenyewe) imejaa sana biases, kwahiyo ukitaka upate kitu ambacho ni tangible kidogo lazima upitie sources nyingi sana kutoka kwa watu tofauti.Tafuta KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
Msimamo wa tasnifu ya kiwanuka ni kuwa hya ilibidi yafanywe ili kulinda umoja wa kitaifa, ni kama tu mauaji ya kina sheikh Aboud Rogo kule Kenya...Vyombo vya dola, na CCM, wamekuwa kimya kuhusu suala hili kwa muda wote.
..Hawaelezi kwanini walikamatwa. Na haielezwi nini kiliwakuta. Na haielezwi miili yao iko wapi.
cc Mohamed Said
Of course, tena ukizingatia kwa nyakati zile bado Waafrika tulikuwa na ujinga ujinga mwingi kichwani! No wonder hata Elena hakujali na hatimae kwenda kutafuta asili yake!Hapa Hanga (R.I.P) alituangusha waafrika. Hata hivyo, ni mapungufu ya kibinadamu yanaweza kusameheka.
Msimamo wa tasnifu ya kiwanuka ni kuwa hya ilibidi yafanywe ili kulinda umoja wa kitaifa, ni kama tu mauaji ya kina sheikh Aboud Rogo kule Kenya.
Tena sana... back in the days niliwahi kuangalia show moja ambayo iliwakutanisha Elena, binti wa Muhammad Ali (US Boxer) na mama mmoja wa mwandishi wa Loss Angeles Times...binti wa Hanga atakuwa amepata shida sana ktk ukuaji wake.
..kwanza, kuwa mtu aliyechanganya damu ktk nchi yenye ubaguzi.
..pili, ni kukua bila kupata malezi na mapenzi ya baba yake.
..tatu, baba yake kupoteza maisha ktk mazingira yasiyoelezeka.
Ukitaka kufahamu ukweli juu ya vita dhidi ya uislamu isome historia ya Tanganyika kabla, wakati na baada ya ukoloni. Moja ya mifano hai ni kutekwa na kuuawa kwa watu hao...tangu auwawe mpaka leo hii huo umoja wa kitaifa umepatikana?
..na walioketi na kubuni huo mpango wa kulinda umoja wa kitaifa na kumtoa roho mwenzao ni kina nani?
Ulikuwa unajaribu kusema nini hasa?! Kwamba mauaji ya akina Abdallah Kassim Hanga ilikuwa lazima yafanyike ili kulinda umoja wa kitaifa?! Kama jibu lako ni NDIYO, unaweza kutueleza hapa ni kwa namna gani na taifa lipi ambalo umoja wake ulikuwa mashakani kutokana na uwepo wa akina Hanga?!Msimamo wa tasnifu ya kiwanuka ni kuwa hya ilibidi yafanywe ili kulinda umoja wa kitaifa, ni kama tu mauaji ya kina sheikh Aboud Rogo kule Kenya.
Ukitaka kufahamu ukweli juu ya vita dhidi ya uislamu isome historia ya Tanganyika kabla, wakati na baada ya ukoloni. Moja ya mifano hai ni kutekwa na kuuawa kwa watu hao.
Hiyo ni kwa mujibu wa tasnifu ya kiwanuka si Mimi, hembu rejea tena uthibitishe. Na lengo langu katika hilo ni kuonesha kuwa wapo watuwanaounga mkono matukio kama haya.Ulikuwa unajaribu kusema nini hasa?! Kwamba mauaji ya akina Abdallah Kassim Hanga ilikuwa lazima yafanyike ili kulinda umoja wa kitaifa?! Kama jibu lako ni NDIYO, unaweza kutueleza hapa ni kwa namna gani na taifa lipi ambalo umoja wake ulikuwa mashakani kutokana na uwepo wa akina Hanga?!
Na ndio maana katika moja ya posts zangu hapo juu nikasema kuielewa historia ya Zanzibar (in fact ya Tanzania kwa ujumla) ni lazima mtu atumie multiple sources kwa sababu imejaa biases nyingi sana!!Hiyo ni kwa mujibu wa tasnifu ya kiwanuka si Mimi, hembu rejea tena uthibitishe. Na lengo langu katika hilo ni kuonesha kuwa wapo watuwanaounga mkono matukio kama haya.