Tuambiwe ukweli, Kassim Hanga, Abdulaziz Twala na wengine wote wamelala wapi? Halafu tusameheane

..Vyombo vya dola, na CCM, wamekuwa kimya kuhusu suala hili kwa muda wote.

..Hawaelezi kwanini walikamatwa. Na haielezwi nini kiliwakuta. Na haielezwi miili yao iko wapi.

cc Mohamed Said
Hawa walionekana tishio dhidi ya mzee Karume maana hao ndo walikuwa wana mapinduzi.Nyerere alishindwa kuwatetea kwa kuhofia siri kali kuhusu mapinduzi ingefichuka.Wapi walipozikwa pako katika Kwa heri uhuru,kwaheri ukoloni.
 
Historia yako ina ukweli lakini pia imejaa upotoshaji.
Karume alikuwa muuaji na yeye ndiye alimuua Hanga tatizo la Nyerere alishindwa kuzuia mauaji yake kwa kuamini Karume angemhukumu kwa haki
 
Historia yako ina ukweli lakini pia imejaa upotoshaji.
Karume alikuwa muuaji na yeye ndiye alimuua Hanga tatizo la Nyerere alishindwa kuzuia mauaji yake kwa kuamini Karume angemhukumu kwa haki
Unaweza kueleza huo upotoshaji niliojaza ni upi?!
 
..lengo la TL ni muungano wa serikali 3.

..Na maamuzi ya Wazanzibari ktk sanduku la kura kuheshimiwa.

Kwanini maamuzi yao kwenye Sanduku la.kura hayaheshimiwi? Toka miaka yote hii au ni njia rahisi ya kutafuta sympathy kwa wale wanaoshindwa?
 
Nyamaza usimuongelee huyu kibaraka hana pointi ni pimbi tu
 
Kwanini maamuzi yao kwenye Sanduku la.kura hayaheshimiwi? Toka miaka yote hii au ni njia rahisi ya kutafuta sympathy kwa wale wanaoshindwa?

..hata mapinduzi ya 1964 ukisoma kwa undani chanzo chake ni migogoro ya matokeo ya uchaguzi.
 
..hata mapinduzi ya 1964 ukisoma kwa undani chanzo chake ni migogoro ya matokeo ya uchaguzi.

Nani aliyeyatengeneza yale mapinduzi? Kuna chuki as if everything starts where they think it is easy to cast their blame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…