OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kweli mkuu, ingekuwa enzi za Kikwete isingekuwa tabu. Hii serikali haiaminiki haipendi watu wafurahi. Sasa hii furaha inayoletwa na Simba Sc jiwe anaweza kuamka vibaya akavuruga kila kitu. Kifupi sio rafiki kwa uwekezajiMchakato wa mabadiliko ndiyo hauko vizuri nadhani anaogopa risk hapo badae
Labda tumpe mi5tena