rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mnalinganisha na timu yenu inayopumua kwa msaada wa mashineTulia ww ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalinganisha na timu yenu inayopumua kwa msaada wa mashineTulia ww ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Ile mechi coastal waliwazidi utopolo kila kituWanahitaji maombi, wanabeba watu migongoni hata wasiowajua, huyo Piston tuliambiwa amecheza Ulaya ajabu leo anashindwa hata kucheza Mkwakwani..
Usiwaze mkuu nilijoke tu kidogoMkuu nilim quote ras jeff kapita
Uwezo hauji hivi hivi kaka....unawawezesha. jamaa aliwekeza kwa hao wakina mosimane alikuwa anamlipia kwenda kozi za ukocha nasikia saa hii kuna members wa tecnical bench wanafanya uefa B licence club inalipa. Hapa kwetu kuna vitu kama hivyo tunafanya?Unazungumzia kuwapa nafasi makocha wazawa kwa uwezo gani, wazawa wa kwao wanapewa nafasi kwa sababu wana uwezo hiyo ya uzawa ni sifa ya ziada

Bosi wa Simba, duh bahili kichizi
Kanuni za mashindano. Kila kabla ya mashindano kanuni huwekwa wazi mapema, na timu inaingia ikijua inatakiwa ifanye nini ili kufikia lengo. Kuna mwaka ule 2006, Angola ilienda World Cup kutokana na kanuni kama hii ya Head To Head, ambapo mkilingana point, kinachofuata ni kuangalia miongoni mwenu ni nani alivuna point nyingi mlipokutana, kama sio point basi magoli ya nyumbani na ugenini, nkMsaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?
Sportpesa ni magumashi ki vp?Jamaa wanasajili mchezaji 1 Bilioni 1. Hatari sana. Mo apewe nafasi atafute mdhamini wa nguvu baada ya contract magumashi na Sportpesa
Huna akiliHii pointi muhimu, Simba tusiridhike kwa kumuweka mfukoni utopolo, au ku draw na Mazembe kwenye friend match, kuna vigingi huko mbele sio mchezo, kuchukua kombe Klabu Bingwa Afrika inatakiwa kufunga mkanda haswa.
Niliona walimgomea Al Ahly kumuuzia mchezaji wao toka Paraguay, jamaa wana viburi haswa na wanaupiga wakutosha.
inatisha wapi hadi ruvu anaipapasaHaa haa mkuu Simba Sc inatisha ila sio level za Mamelod
Jamaa wanasajili mchezaji 1 Bilioni 1. Hatari sana. Mo apewe nafasi atafute mdhamini wa nguvu baada ya contract magumashi na Sportpesa
Usijidanganye mkuu, Al Ahl haitishi kivipi,ni hiyo game ya Simba Sc tu. tazama mziki saa 4
Kila ukiandika ni Utopoloinatisha wapi hadi ruvu anaipapasa
Mkuu kuna hawa Wydad Casa. Hawa balaaEsperance nao wabaya sana, wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl
Kwamba Ruvu hakukupapasakila ukiandika ni Utopolo
haka ka ahly tulichokafinya bongooo 😛 😛 😛Espe, zamalek, mamelod, mazembe wote hawaachi kuomba mizimu yao iwasaidie wasikutane na Ahly. Simba kwa hizo timu za kiarabu tunawapiga bila kizuizi