Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

Mchakato wa mabadiliko ndiyo hauko vizuri nadhani anaogopa risk hapo badae
Labda tumpe mi5tena
Kweli mkuu, ingekuwa enzi za Kikwete isingekuwa tabu. Hii serikali haiaminiki haipendi watu wafurahi. Sasa hii furaha inayoletwa na Simba Sc jiwe anaweza kuamka vibaya akavuruga kila kitu. Kifupi sio rafiki kwa uwekezaji
 
Usijidanganye mkuu, Al Ahl haitishi kivipi,ni hiyo game ya Simba Sc tu. tazama mziki saa 4
Najua nikienda kwake hali yangu itakuwa mbaya, kiburi changu coz na yeye akija kwangu hatoki ndio maana hanisumbui.

Ila akikutana na hao Sundowns sitashangaa akipigwa zile 5 za msimu uliopita.
 
kweli mkuu. ingekuw enzi za Kikwete isingekuwa tabu. Hii serikali haiamini haipendi watu wafurahi.Sasa hii furaha inayoletwa na Simba Sc jiwe anaweza kuamka vibaya akavuruga kila kitu. Kifupi sio rafiki kwa uwekezaji
Tuweni wavumilivu tu ila hao michezo pesa inabidi warisk watuletee hata key players wa3 kwa gharama yao simba sahivi inawalipa sana wasilete ukabila hapa
 
Tuweni wavumilivu tu ila hao michezopesa inabidi warisk watuletee hata key players wa3 kwa gharama yao simba sahivi inawalipa sana wasilete ukabila hapa
Hii nayo pointi, jamaa au angalau wawe wanalipa mishahara foreigners kama watano hivi, huo mkataba wao ukiisha Simba wakae nao chini vizuri.
 
Kombe hamuwezi kuchukua abadan huko mlipokwenda mmevamia pati za watu
 
Hana ubali kweli maana makocha wazawa anawalipa vizuri...and the gud thing ana promote makocha wazawa. Huyo kweli ndio leader sio sie ata CHAN tunashindwa wapa wazawa chance.
Unazungumzia kuwapa nafasi makocha wazawa kwa uwezo gani, wazawa wa kwao wanapewa nafasi kwa sababu wana uwezo hiyo ya uzawa ni sifa ya ziada
 
Kombe hamuwezi kuchukua abadan huko mlipokwenda mmevamia pati za watu
Kaa kwa kutulia, kombe linachukuliwa tu, Simba nayo ina watu wale kina Miq, Chama, Bwalya, sio mapambo yale.
 
Msaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?

Hata mimi hii nimeshanga huku 365 mazembe yupo namba 2
 
espe, zamalek, mamelod, mazembe wote hawaachi kuomba mizimu yao iwasaidie wasikutane na ahly. Simba kwa hizo timu za kiarabu tunawapiga bila kizuizi
Alafu Simba mna kelele na viburi, mechi ya leo mmecheza hovyo mmeshindwa kumfunga kibonde msomali hampo consistency nyinyi na msipo angalia vita wanawapiga hapa home....
 
Hii nayo pointi, jamaa au angalau wawe wanalipa mishahara foreigners kama watano hivi, huo mkataba wao ukiisha Simba wakae nao chini vizuri.
Ee wafanye hivyo
Ila na wao wajiongeze maana kwa kasi hii ya simba naamini kila kampuni sasa hivi inavutiwa kuweka mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…