Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

Unazungumzia kuwapa nafasi makocha wazawa kwa uwezo gani, wazawa wa kwao wanapewa nafasi kwa sababu wana uwezo hiyo ya uzawa ni sifa ya ziada
Uwezo hauji hivi hivi kaka....unawawezesha. jamaa aliwekeza kwa hao wakina mosimane alikuwa anamlipia kwenda kozi za ukocha nasikia saa hii kuna members wa tecnical bench wanafanya uefa B licence club inalipa. Hapa kwetu kuna vitu kama hivyo tunafanya?

Ni suala la kusema in ten years tunataka hiki inawezekana. Motsepe alisema kuwa anataka kishinda caf champions league na mzawa so he knew kuwa he needs to invest in educating them na pia kuwalipa vile inavyostahili. Sie huku ata mkimpa mzawa kazi bado mnaanza kukopeshana🀣🀣🀣🀣
 
Msaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?
Kanuni za mashindano. Kila kabla ya mashindano kanuni huwekwa wazi mapema, na timu inaingia ikijua inatakiwa ifanye nini ili kufikia lengo. Kuna mwaka ule 2006, Angola ilienda World Cup kutokana na kanuni kama hii ya Head To Head, ambapo mkilingana point, kinachofuata ni kuangalia miongoni mwenu ni nani alivuna point nyingi mlipokutana, kama sio point basi magoli ya nyumbani na ugenini, nk

Huna akili
 
Tuombe tusikutane na mamelodi , wydad Casablanca, au esparance de tunis hao wanatubatiza kwa msalaba was Moto ila hao wengine waliobaki naona kawaida tu.
 
Wana Yanga bakini na misimamo yenu ya Simba kupigwa khamsa khamsa.
Naona mnaanza kubali kauli,mshaanza kusema Simba ita droo kwa Mkapa badala ya kauli zenu za khamsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…