Tuambizane ukweli: kauli ya Nchimbi imebeba hofu kubwa iliyopo CCM kwa sasa

Mbowe anapenda sana huu ujinga wa kuona nchi inakuwa kwenye taharuki. Mfumo upo kazini na upo vizuri kuweza kushughulika na vurugu zozote iwapo zitajitokeza.
Kwa hiyo utekaji na mauaji yanayofanywa na dola ni matukio ya kudumisha amani?
 
Una ushahidi gani yanafanywa na dola, dunia nzima uporaji uuaji ni sehemu ya maisha.

Jiulize kwanini mauaji yatokee mwaka 2024 kabla ya uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa?.
 
Embu kwanza rekebisha kwanza makosa ya kiuandishi yaliyomo kwenye andiko lako halafu ndio nirejee kushusha NONDO nzito zitakazokububujisha machozi ya furaha na kuanza kutafuta ofisi za CCM ziliko ili Uombe kadi na kujiunga na CCM.
Shujaa wa CCM naona umejipanga
 
Una ushahidi gani yanafanywa na dola, dunia nzima uporaji uuaji ni sehemu ya maisha.

Jiulize kwanini mauaji yatokee mwaka 2024 kabla ya uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa?.
Mimi ni CCM
Sikubaliani na huu uhuni.

Naelewa mapishi ya jikoni
 
Mimi ni CCM
Sikubaliani na huu uhuni.

Naelewa mapishi ya jikoni
Hakuna kitu kama hicho mkuu, mauaji yanaweza kuwa na sababu nyingi. Tufanye kazi kwa bidii na kuwa wabunifu hizi lawama na chuki ni kujiongezea umaskini juu ya huu tulionao tayari.
 
Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA.

Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani kuendeleza mazungumzo ya maridhiano. Pia amesisitiza kuwa vyombo vya haki kutenda haki na kutopendelea upande wowote.

Ninawaomba wanajukwaa tuchambue msimamo wa CCM kwa maeneo haya.
  1. Je ilibidi kitokee kifo cha cha namna ya marehemu Kibao ili CCM ijitokeze kukemea? Tangu miaka 3 nyuma watu wanatekwa huku kila dalili inaonesha vyombo vya dola vinahusika lakini wenye dhamana hawakuchukua hatua
  2. Nape na DC wa Longido wamekiri uhusika wa CCM kunajisi demokrasia na usalama wa taifa kupitia kauli zao. Inakuwaje CCM inawastaafisha bila hatua stahiki kuchukuliwa?
  3. Mazungumzo ya maridhiano baina ya vyama yana nafasi gani kwetu wananchi tusioamini hivyo vyama?
  4. Kwa nini leo Nchimbi anaonesha hofu ya waziwazi na asitoe msimamo wa kuungamkono maandamano ya amani ya kukomesha mauaji yanayosababishwa na polisi, TISS, UVCCM?
  5. Nchimbi hajazungumzia uwajibikaji wa wahusika hususan Madauni, IGP, DGIS na DCI? Najua hawezi kuzungumzia SAMIA MUST GO maana ni mfupa mgumu kwake
  6. Sheria ya TISS iliyorekebishwa Bungeni 2025l4 imechangia pakubwa haya mauaji. Alikwepaje hii kasoro kubwa inayolalamikiwa nchi nzima?
Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani kuendeleza mazungumzo ya maridhiano. Pia amesisitiza kuwa vyombo vya haki kutenda haki na kutopendelea upande wowote.😂
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, mauaji yanaweza kuwa na sababu nyingi. Tufanye kazi kwa bidii na kuwa wabunifu hizi lawama na chuki ni kujiongezea umaskini juu ya huu tulionao tayari.
Swallow your words ndugu.

Nahisi ama ni hakika wewe ni miongoni mwa wafaidika wa huu upuuzi na ukatili unaoendelea.

Dont try to silence me
 
Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA.

Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani kuendeleza mazungumzo ya maridhiano. Pia amesisitiza kuwa vyombo vya haki kutenda haki na kutopendelea upande wowote.

Ninawaomba wanajukwaa tuchambue msimamo wa CCM kwa maeneo haya.
  1. Je ilibidi kitokee kifo cha cha namna ya marehemu Kibao ili CCM ijitokeze kukemea? Tangu miaka 3 nyuma watu wanatekwa huku kila dalili inaonesha vyombo vya dola vinahusika lakini wenye dhamana hawakuchukua hatua
  2. Nape na DC wa Longido wamekiri uhusika wa CCM kunajisi demokrasia na usalama wa taifa kupitia kauli zao. Inakuwaje CCM inawastaafisha bila hatua stahiki kuchukuliwa?
  3. Mazungumzo ya maridhiano baina ya vyama yana nafasi gani kwetu wananchi tusioamini hivyo vyama?
  4. Kwa nini leo Nchimbi anaonesha hofu ya waziwazi na asitoe msimamo wa kuungamkono maandamano ya amani ya kukomesha mauaji yanayosababishwa na polisi, TISS, UVCCM?
  5. Nchimbi hajazungumzia uwajibikaji wa wahusika hususan Madauni, IGP, DGIS na DCI? Najua hawezi kuzungumzia SAMIA MUST GO maana ni mfupa mgumu kwake
  6. Sheria ya TISS iliyorekebishwa Bungeni 2025l4 imechangia pakubwa haya mauaji. Alikwepaje hii kasoro kubwa inayolalamikiwa nchi nzima?
Eti na yeye hawajui watekaji ni akina nani? Oysterbay pale Sijui panaishi Watu Gani huko
 
Mafwele is now following you...
Mafwele is typing...
GXSjdPnWUAAzb2j.jpg
 
Huna lolote shabiki wa mauaji haya yanayoratibiwa na CCM

Kwa taarifa yako kama hujui. Leo Nchimbi anajitokeza hadharani lakini baada ya tamko la CHADEMA kutolewa, CCM Dar imeshaitisha VIKOSI KAZI kutoka kila Tawi ili kuwaandaa kuwakabili wananchi watakaojitokeza na pia kufanya vurugu kwa raia katikati ya maandamano ili ionekane CHADEMA wanaleta vurugu
Acha mambo yako hasi! Hubiri siasa za kujenga taifa. Mimi siungi mkono vurugu ziwe za Chama chochote. Nasimamia nchi. Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu ameshaagiza uchunguzi. KM wa CCM ametoa msimamo wa Chama sasa tujadili hisia zako? Weka uthibitisho hapa kuwa CCM imeshaandaa hivyo vikosi. 🙏🙏🙏
 
Duh

Kiongozi yoyote Mzalendo anapouawa Mwanajeshi tena kinyama ni lazima aoneshe au apate Hofu

Katika Ulimwengu wa roho tukio la kuuwawa kikatili Shujaa aliyepigana Vita ni baya mno

Ally Mohamed Kibao siyo Goliath 🐼
Apa ndugu yangu hujamshilikisha mzee Mgaya
 
Hili jambo la kikatili sana CCM na Mwenyekiti wetu Mh. Rais Samia tumeumia sana, hata binadamu tu asiye na Chama chochote ataumia sana, why?
 
Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA.

Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani kuendeleza mazungumzo ya maridhiano. Pia amesisitiza kuwa vyombo vya haki kutenda haki na kutopendelea upande wowote.

Ninawaomba wanajukwaa tuchambue msimamo wa CCM kwa maeneo haya.
  1. Je ilibidi kitokee kifo cha cha namna ya marehemu Kibao ili CCM ijitokeze kukemea? Tangu miaka 3 nyuma watu wanatekwa huku kila dalili inaonesha vyombo vya dola vinahusika lakini wenye dhamana hawakuchukua hatua
  2. Nape na DC wa Longido wamekiri uhusika wa CCM kunajisi demokrasia na usalama wa taifa kupitia kauli zao. Inakuwaje CCM inawastaafisha bila hatua stahiki kuchukuliwa?
  3. Mazungumzo ya maridhiano baina ya vyama yana nafasi gani kwetu wananchi tusioamini hivyo vyama?
  4. Kwa nini leo Nchimbi anaonesha hofu ya waziwazi na asitoe msimamo wa kuungamkono maandamano ya amani ya kukomesha mauaji yanayosababishwa na polisi, TISS, UVCCM?
  5. Nchimbi hajazungumzia uwajibikaji wa wahusika hususan Madauni, IGP, DGIS na DCI? Najua hawezi kuzungumzia SAMIA MUST GO maana ni mfupa mgumu kwake
  6. Sheria ya TISS iliyorekebishwa Bungeni 2025l4 imechangia pakubwa haya mauaji. Alikwepaje hii kasoro kubwa inayolalamikiwa nchi nzima?t
Nchimbi wewe sio katibu mkuu wa CHADEMA, kaa kimya! Tunaandamana sisi Wanachadema na huna ruhusa wa mamlaka ya kutukataza!
 
MBONA HILI SUALA NI DOGO SANA, HAPA NI LAZIMA MAAMUZI YAFANYIKE, HAPA NI KUPANGUA SAFU ZA KIUTENDAJI ZA KIPOLISI BIASHARA IMEKWISHA, SIMPLE LIKE THAT
-Rais wangu do this a special mebendazole tablet!
 
Back
Top Bottom