Tuambizane ukweli: kauli ya Nchimbi imebeba hofu kubwa iliyopo CCM kwa sasa

Mbowe anapenda sana huu ujinga wa kuona nchi inakuwa kwenye taharuki. Mfumo upo kazini na upo vizuri kuweza kushughulika na vurugu zozote iwapo zitajitokeza.
Kwa hiyo utekaji na mauaji yanayofanywa na dola ni matukio ya kudumisha amani?
 
Kwa hiyo utekaji na mauaji yanayofanywa na dola ni matukio ya kudumisha amani?
Una ushahidi gani yanafanywa na dola, dunia nzima uporaji uuaji ni sehemu ya maisha.

Jiulize kwanini mauaji yatokee mwaka 2024 kabla ya uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa?.
 
Embu kwanza rekebisha kwanza makosa ya kiuandishi yaliyomo kwenye andiko lako halafu ndio nirejee kushusha NONDO nzito zitakazokububujisha machozi ya furaha na kuanza kutafuta ofisi za CCM ziliko ili Uombe kadi na kujiunga na CCM.
Shujaa wa CCM naona umejipanga
 
Una ushahidi gani yanafanywa na dola, dunia nzima uporaji uuaji ni sehemu ya maisha.

Jiulize kwanini mauaji yatokee mwaka 2024 kabla ya uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa?.
Mimi ni CCM
Sikubaliani na huu uhuni.

Naelewa mapishi ya jikoni
 
Mimi ni CCM
Sikubaliani na huu uhuni.

Naelewa mapishi ya jikoni
Hakuna kitu kama hicho mkuu, mauaji yanaweza kuwa na sababu nyingi. Tufanye kazi kwa bidii na kuwa wabunifu hizi lawama na chuki ni kujiongezea umaskini juu ya huu tulionao tayari.
 
Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani kuendeleza mazungumzo ya maridhiano. Pia amesisitiza kuwa vyombo vya haki kutenda haki na kutopendelea upande wowote.πŸ˜‚
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, mauaji yanaweza kuwa na sababu nyingi. Tufanye kazi kwa bidii na kuwa wabunifu hizi lawama na chuki ni kujiongezea umaskini juu ya huu tulionao tayari.
Swallow your words ndugu.

Nahisi ama ni hakika wewe ni miongoni mwa wafaidika wa huu upuuzi na ukatili unaoendelea.

Dont try to silence me
 
Eti na yeye hawajui watekaji ni akina nani? Oysterbay pale Sijui panaishi Watu Gani huko
 
Acha mambo yako hasi! Hubiri siasa za kujenga taifa. Mimi siungi mkono vurugu ziwe za Chama chochote. Nasimamia nchi. Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu ameshaagiza uchunguzi. KM wa CCM ametoa msimamo wa Chama sasa tujadili hisia zako? Weka uthibitisho hapa kuwa CCM imeshaandaa hivyo vikosi. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Duh

Kiongozi yoyote Mzalendo anapouawa Mwanajeshi tena kinyama ni lazima aoneshe au apate Hofu

Katika Ulimwengu wa roho tukio la kuuwawa kikatili Shujaa aliyepigana Vita ni baya mno

Ally Mohamed Kibao siyo Goliath 🐼
Apa ndugu yangu hujamshilikisha mzee Mgaya
 
Msanii kwenye kipengele namba 5 rekebisha jina la waziri hapo ili ccm waelewe ni nani anayezungumziwa hapo.
 
Hili jambo la kikatili sana CCM na Mwenyekiti wetu Mh. Rais Samia tumeumia sana, hata binadamu tu asiye na Chama chochote ataumia sana, why?
 
Nchimbi wewe sio katibu mkuu wa CHADEMA, kaa kimya! Tunaandamana sisi Wanachadema na huna ruhusa wa mamlaka ya kutukataza!
 
MBONA HILI SUALA NI DOGO SANA, HAPA NI LAZIMA MAAMUZI YAFANYIKE, HAPA NI KUPANGUA SAFU ZA KIUTENDAJI ZA KIPOLISI BIASHARA IMEKWISHA, SIMPLE LIKE THAT
-Rais wangu do this a special mebendazole tablet!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…