Tuambizane wimbo gani wa Mama uliwahi kukubamba?

Tuambizane wimbo gani wa Mama uliwahi kukubamba?

Nje yatopic:

Ni kweli kuna baadhi ya akina baba, hawafai kusifiwa. Ila nnafadhaika sana kwa nini kila mtu tena wasanii wa kiume wanawasifia akina mama tuu? All these sacrifices we men make and work our ass really hard, kutokea kutongoza, kuhonga, kulipia mahari nk, kutunza mimba na kuhangaika hadi mtu anazaliwa na kumtunza mama na mtoto kwa jasho na damu, lakini inaonekana wamama ndo wanafanya kazi kwakweli inatu-discourage.. ndio maana mda mwingine unaweza kuwaza kupitia bar kupunguza mawazo na pombe na nyama choma wakati nyumbai wanakula mboga coz hata kmukipeleka nyama nyumbani bado itaonekana anayepika ndo bora kuliko niliyepeleka. This is the https://jamii.app/JFUserGuide that make we men think we are not appreciated by anyone.
 
Bila MAMA ya KING CRAZY GK sipokei list yako.
Wasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu mzima.

Mpaka sasa sina kumbukumbu ya wasanii ambao waliwahi kuwasifia au kuwashukuru wazazi wao wakiume, ingawa wanaume wamekua wakitumia muda mwingi kuhangaikia familia ipate chakula, mavazi na malazi ili isihazirike lakini bado thamani ya baba imekua haionekani sana katika mboni za watoto wengi.

Mama ni mshirika ambaye anakua mwalimu kutambaa, kutembea na kuongea ndo maana wasanii wengi wamepata shauku ya kutunga mashairi kuwashukuru mama zao, Mama ni tunu hatuna kumuenzi kizazi na kizazi.

Licha ya kutungwa tungo mbalimbali kumhusu mama lakini haijawahi kuchosha yaan mapokeo yake yamekua makubwa mno.

Mfano wa wasanii hao
1. Christian Bella ft Ommy Dimpoz- Mama
2. Tupac - Dear Mama
3. Harmonize - Mama
4. Banana Zorro - Mama
5. Kayumba - Mama
6.
.
.
10.
Tuambizane hapa wimbo gani wa mama uliwahi kukubamba vilivyo, binafsi wimbo wa Kayumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa Nje:-

Spice Girls.

Kwa Ndani.

King Crazy GK ft Fina Mango (Chorus Nikupe nini mamaaa GK .Mtoto hakui kwa mama)
 
Back
Top Bottom