Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Dunia haiko kama unavyoiona, Kuna agenda ya siri sana, na wahanga wakubwa watu, weusi, lazima uamke ili uione picha kubwa...ukifanya hivyo, utajikuta uko vitani mtu mweusi, karibu tuko hapa maaskari wenzio kukufungua macho yako....uamke kutoka msukuleni. Hapa tunakufunulia mambo yaonekanayo ndivyo hivyo, kumbe sivyo ndivyo.
Lengo kuu la uzi huu, ni kukufikisha mahali ndugu msomaji ukajihoji binafsi, na yale yanayoendelea duniani, kukuchochea we kutokubali mambo kwenye sahani
Kwenye dunia iliyojawa ushahidi wa uongo, kutokuwepo ushahidi ndio inakuwa ushahidi, hii hasa pale watawala, wenye mamlaka juu ya vyanzo vya taarifa, wanapokuwa ndio watuhumiwa wenyewe. Ishu ya Michael Jackson, ni mfano mdogo tu, mjadala ni mpana kuliko hapo.
Mada yetu inahoja Za msingi zifuatazo:
1. Mweusi binadamu wa Kwanza
2. Mweusi mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini
3. mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi
4. Kupitia ubaguzi amejaribu na kufanikiwa mno kufuta ya misingi mikuu iliyowekwa na mtu mweusi, kisiasa, kitaaluma, kitamaduni
5. Ustaarabu wa mweupe leo ni mwigo wa ustaarabu mkongwe zaidi wa mweusi kwa kila namna
* Kama una ushahidi kupinga haya tuyasemayo, tuletee hapa tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie'
Mara unapojua uko vitani, hiyo ni ngazi ya kwanza, Nasi twataka tukufunde jando mwitu, na unyago wa mizimu'
Tukujaze silaha na mbinu katika vita yako, utakapo amka na kujikomboa mtu mweusi dunia utaikomboa'
NB: The things people refuse are the things they should choose' Bob Marley
And remember:
You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time. Abraham Lincoln.
Asanteni