Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Avatar Unayoitumia Ni Mwafrika Kweli?Tulishafanya makubwa mno, mweusi ndio rangi ya jua, tuna viini vya melanin, dada tusijipodoe, tuache mikorogo, huu weusi, wazungu wanautamani, hawawezi kuwanao, tumepewa na mungu